goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. Sex ni kitu ambacho kiko overrated sana. Hata sex yenyewe inajaribu kukuonesha kuwa sio ya thamani pale unapo piga goli immediately unaanza kujilaumu

    Miaka 30 jela. Uraibu wa pornographia pedophilia Cheating. Kufirisika. Kuharibu mahusiano. Kufumaniwa. Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani Aaaaargh!
  2. Daezen Maeda wa Ipswich kazawazisha goli dhidi ya Manchester city

    Ni gemu ya premier league inayoendelea sasa hivi ambapo Mancity ilitangulia kufunga dakika ya 19 kupitia Phil Foden. Na baadaye dakika 21 huyu kijana mchaga Daezen Maeda kutoka Rombo anayechezea Ipswich kama mshambuliaji kusawazisha. Safi sana Mangi kutuwakilisha vema. Chaliifrancisco hydroxo...
  3. Tushukuru kwa kufungwa yale magoli mawili, maana ilikuwa gharika kuu .

    Mpira ni mchezo wa kikatili! Lazima ukubali uwezo wa mpinzani wako. Kwa miaka 4 mfululizo Simba walikuwa wanapitia maumivu haya, leo ndio tumeelewa uchungu wao. Tumefungwa goli 2 tu lakini bado tunaumia! Sasa fikiria tulipowafunga goli 5, walikuwa wanajisikiaje? Tushukuru hizo goli 2, maana...
  4. Video: Goal la Ellie Mpanzu linafanana na lile goli la Ronaldo D lima

    Goli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby) Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa...
  5. Video ikionesha mshabiki wa Man Utd akipata mshituko na kuanguka jana baada ya brightom kufunga goli la 3

    Hii timu itaua watu aiseee
  6. Chama cha waamuzi wa England chakili kufanya kosa kuruhusu goli la Erling Haaland

    Chama cha Waamuzi cha England kimekiri kufanya kosa katika kuruhusu goli la ushindi la Manchester City dhidi ya Manchester United, ambapo Man City ilishinda 1-0 katika uwanja wa Old Trafford. Katika taarifa iliyotolewa masaa machache baada ya ushindi huo wa Man City ilifichua kuwa imewasiliana...
  7. Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  8. NIGERIA: Katika wazazi 4 wanaopima DNA basi mmoja kapigwa, Yani analea goli la kidume mwezake

    Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo...
  9. Je! Ni one mistake, one goal au kuna mpango nyuma?

    Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya kujiuzulu mara kagoma yaani hakuna kinachojulikana kulikoni.. Kitendo cha makamu kwenda kumtembelea...
  10. Jurgen Klopp: Kama VAR imekataa goli lile la Ujerumani basi Arsenal haikustahili kuwa bingwa wa Premier League

    "Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.” Juni 30, 2026 Jurgen Klopp 'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany Germany thought their...
  11. Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  12. Leo ndio Mechi za Mwisho za EPL 2025/26: Hakuna Mechi isio na Goli!

    Tunafunga msimu kibabe sana. Kila mechi goli limefungwa, hamna droo ya 0-0 leo. COYG
  13. Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
  14. Goli la Chama linaizidi kwa mbali Goli la Puskat 2025

    https://youtu.be/dytqapjk4Qw?si=8FYtt5wPiJNBozBu Kwa mujibu wa mitandao hilo ndio goal la Puskat kwa mwaka jaza. Ukilinganisha goal la Chama ni hatari kuliko hili https://youtu.be/YeFifs15d8I?si=oelqqxCQEKTT4cA0
  15. FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  16. Na bado wanangangania goli aisee Simba nyie, Refa apewe maua yake kabisa

    😴 🥱
  17. M

    Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  18. Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  19. Million 5 za goli la mama zimezika mpira wa Tanzania

    GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa. Sasa uchawa wa kwenye...
  20. Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

    Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale. Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea. Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…