gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kupata hati ya kiwanja

    Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru Natanguliza shukrani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu?

    Wadau napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu. Je kwa kununua bei ya pavement moja ikoje.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  4. JamiiForums Tanzania Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

    Kwa anaejua gharama za kukodi ukumbi wa Nkrumah Hall pamoja na taratibu zake. With much thanks in advance
  6. JamiiForums Tanzania Vitu vinavyo ongeza gharama za ujenzi

    Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu inaweza kuathiri gharama hizo. Mambo Yanayoongeza Gharama za Ujenzi wa Nyumba - Aina ya Kiwanja...
  7. JamiiForums Tanzania Gharama za kuweka Wallpaper ziwe za moja kwa moja

    Habari wanajukwaa! Poleni na hongera kwa harakati za maisha. Kuna jambo ningependa sana kulileta ili tutazame namna ya kupeana ushauri kuhusu biashara. Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi wanaofanya biashara ya kutoa huduma ya kuweka ama kubandika wallpaper kwenye kuta ndani ya nyumba ama...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa miaka 10 iliyopita sijaona mtu anayeongoza kwa kuishi maisha ya Anasa, Starehe na Gharama ya hali ya juu ulimwenguni kama huyu mwamba

    Huenda kuna matajiri ulimwenguni waliopo na waliopata kuishi, kama kina Mobutu seseko, Kina King khan, Bill gates, Elon musk nk. Pia wapo matajiri wa mafuta huko Saud Arabia na watoto wa mabilionea kama Prince of Saud Arabia nk. Pia wapo celebrities wenye uwezo mkubwa kifedha wanaomiliki Lavish...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  10. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  12. JamiiForums Tanzania Usagaji upingwe kwa gharama zote

    Miaka hii ya Karibuni usagaji imekua kama Ruksa. Wasanii wakubwa wanajiachia kwenye social media na hawachukuliwi hatua. Nini kinaendelea? **Kama nchi tunaelekea wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

    Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla. Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufunga Drip kwa ekari (70mx70m)

    Jamani habarini wana JF. Niko mbioni kufunga drip irrigation system shambani kwangu. Nimeona niachane na miradi mingine kwanza nikomae na hili. Nataka nilime vitunguu saumu kwa shamba lenye ukubwa wa mita 70 kwa 70). Maji tayari ninayo nilichimba kwa mtambo (drilling), na kisima kiko hapo hapo...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  16. JamiiForums Tanzania Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe gharama ya kurusha matangazo ya EPL ni muziki mnene hivi

    Nchini Uingereza, mkataba wa hivi majuzi zaidi wa haki za TV za ndani, unaoanzia msimu wa 2025-26 na kuendelea kwa miaka minne, una thamani ya £6.7 bilioni. Hii inafikia takribani pauni bilioni 1.675 kwa mwaka. Ulimwenguni, mfano mkataba wa NBC nchini Marekani wa 2022-2028 unaripotiwa kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

    Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
  20. JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko. Sasa muongozo wenu naomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…