gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini mashine za NMB na CRDB wakala ni gharama hivyo?

    wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ni gharama za kutoka na mchepuko

    GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO 1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  4. X

    JamiiForums Tanzania Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

    Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa. Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage. Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke na kuspend millions...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa watanzania wote wanaopenda Adventures, hii si yakukosa, siku sita na gharama ni mteremko ✌🏽

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  7. JamiiForums Tanzania Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  8. JamiiForums Tanzania Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nikiwa Rais nitashusha gharama za bando kwa sh 500 utapata GB 1

    Faida za bando kuwa chini ni kubwa sana kuliko kuwa juu Elimu kubwa sana itatolewa kwa wananchi namna ya kutumia Internet kwa mambo ya msingi na ya kuwafaidisha
  10. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu demu nitampata kwa gharama yoyote ile

    Nimesha mdm tayari. Ni Mganda yupo Kampala. # Nilizaliwa kwa ajili ya kufanya starehe. # I am living my life to the fullest
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Nest jaribuni kupunguza gharama za malipo mnaumiza wazabuni wenu na nyiwe wenyewe

    Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi. Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda. Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest. Ila tenda za walimu unakuta...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  14. JamiiForums Tanzania Eti wakuu mbona miundo ya aina hii ya valenda watu hawaitengenezi tena, ni issue ya gharama au ni mabadiriko ya trend?

  15. JamiiForums Tanzania Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango. Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba. Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza Samsung A05 mpya kabisa kwa 225,000/= tu

    Karibu ujipatie simu aina ya samsung A05 mpya kabisa kwa gharama ya 225,000/= tu, Tunafanya delivery. Mawasiliano: 0748270719 Specifications Display Size: 6.7 inches, 108.4 cm2 (~82.1% screen-to-body ratio) Memory: 64GB + 4GB RAM Processor: Octa-Core Front Camera: 8MP Rear Camera: 50MP + 2MP...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Matengenezo ya magari na upatikanaji wa spare parts: Je, ni magari yapi yana gharama nafuu kuyahudumia Tanzania?

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KATA BIMA YA CHOMBO CHA USAFIRI KWA GHARAMA NAFUU

    0686153806 Kwa mawaailiano zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…