Maisha ya mapenzi na ndoa yana changamoto sana. Ila matatizo ndio kipimo cha uvumilivu. Hiki kisa cha masheikh hawa, kimenikumbusha kisa cha Ayoub kuugua hadi kubaki ulimi tu na mkewe alisimama naye.
==============
Unguja.
Masheikh wa Uamsho, wameendelea kufunguka kuhusu machungu waliyopitia...