george

George Papagheorghe (born 22 June 1982, in Constanța) a.k.a. Jorge and at times GEØRGE is a Romanian singer, dancer and TV host, specially for the talent competition România dansează on Antena 1 starting 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. By George Ambangile:Yanga wanajua kuvumilia Shida uwanjani,Simba inatakiwa ku improve beki iwe Sharp.

    Soma Uchambuzi Mfupi na Madini ya Chambuzi lenye Ufahamu na Mpira kwa Mapana yake. Achana na hao kila siku wao hawachambui kazi kuuliza Ali kamwe yupo wapi? Mara Ubaya Ubwela imeliwa. Mara Simba Mchumba. Nini Maoni yako Somaji?
  2. Sex mpaka ndoa

    Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.! No room to that nonsense condition like SEX MPAKA NDOA, the moment she broke her virginity she has lost right to that...
  3. Polisi wamfanyia vibaya muandamanaji wa Hamas kama walivyomfanyia George Floyds

    Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek. Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa. Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa...
  4. Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  5. George Job: Asilimia 99.99% ya mashabiki wa Simba ni wanafiki.

    "Maisha Bila unafiki hayaendi ,wakati nazungumza wakati wa AFL kuwa Al Ahly wako unga mashabiki wa Simba SC walinishambulia Kwa kuwa nilisema Ahly alikuwa anacheza tu dhidi ya Simba SC ,lakini baada ya kutolewa kwa aggregate wengi wanaamini kuwa walikuwa na nafasi ya kupita" "lakini Jana baada...
  6. Stigler’s George imeanza kutoa umeme, tunaamini mgao utaisha kabisa

    Ni habari Njema kwa Stiglers George kuanza kutoa umeme tangu Feb 25th, hivyo tuna amini mgao wa umeme utapungua sana kama sio ukisha kabisa. ANGALIZO Kwa kuwa stiglers tumeambiwa in outlets (vinu 9) na jana wamewasha kimoja tu; Pengine wahakikishe hawawashi vyote ili tuwe na backup pale...
  7. Kesi ya Mauaji ya George Sanga na wenzake yafutwa, waachiwa huru na kukamatwa tena

    Leo tarehe 12 Februari 2024 Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewasilisha Mahakamani nia ya kutoendelea na kesi ya mauaji inayowakabili George Sanga, Optatus Nkwera na Goodlucky Mfuse. Baada ya kufutwa kwa kesi hiyo Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amewakamata tena na kuwafungulia mashtaka yale yale...
  8. Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, George Mandepo awekwa wakfu kuwa Shemasi

    Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)...
  9. George Mwakalinga: Wazee na Wazazi wasaidie kuwahamasisha Watoto wao kushiriki shughuli za maendeleo kwa Jamii

    Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Kyela FM iliyopo Mkoani Mbeya, George Mwakalinga ameuomba Umoja wa Wazawa wa Kyela waishio ndani na nje ya Kyela kuwatafuta wazawa wengine ambao bado hawajajiunga ili kuweka umoja wenye nguvu na mshikamano kwa ajili ya kuijenga wilaya yao. Mwakalinga ametoa rai...
  10. George Weah hatarini kupoteza Urais, mpinzani amzidi kwa Kura chache

    Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa Awali...
  11. Baada ya kusoteshwa selo kwa miaka 3 hatimaye George Sanga afikishwa Mahakamani

    Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Njombe , Kwamba Sanga aliyetuhumiwa kwa mauaji kutokana na kukataa kuunga mkono Juhudi za awamu ya 5 , hatimaye leo amesomewa mashitaka hayo . Hii ni baada ya kuwekwa selo kwa miaka mitatu ili kumkomoa kwa madai ya upelelezi haujakamilika . Anatetewa na Tanzania...
  12. George Job: Al Ahly ni unga

    Simba na Al Ahly zimetolewa kwenye mashindano ya African Football League (AFL) bila kushinda mechi hata moja. Baada ya Simba kushindwa kuifunga Al Ahly hata baada ya kutangulia kuifunga, mchambuzi wa michezo, Bw. George Job alisema Al Ahly imeshuka kiwango (unga) ndio maana alishindwa kuifunga...
  13. George Soros kafunga Ofisi Kenya, chanzo cha mgogoro chadema & Co.!

    George Soros yule mzee wa Kiyahudi ambaye ndiye mmiliki wa open society amefunga na kuondoa funding kwenye Open Society jambo lililopeleka ofisi nyingi ikiwemo ya Nairobi kufungwa, kwa wasiomfahamu George Soros ndiye mdhamini wa mapinduzi Duniani kote kuanzia color revolution North Afrika mpaka...
  14. Liberia: Wananchi Milioni 2.4 kuamua hatma ya Urais wa George Weah leo

    Zoezi hilo linafanyika kwa kukamilisha kipindi cha kwanza cha miaka 6 cha utawala wa aliyewahi kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA mwaka 1995, George Weah ambaye aliingia Madarakani mwaka 2017. George Weah anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Wagombea Urais 19 akiwemo aliyewahi kuwa Makamu...
  15. Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  16. Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  17. M

    SI KWELI Shemasi ‘George Rugambwa’ awauliza maswali sita Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    Kuna ujumbe unasambazwa WhatsApp, una kichwa kinachosema Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) je, ni wa kweli?
  18. Kama Akpan wa Coastal alitua simba, George Mpole kutotakiwa na Vilabu vikubwa nchini kweli Ni vigumu nabii kukubalika kwao

    Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia. Licha ya kupata namba Taifa stars na kutulia mabao muhimu. Sijaelewa tatizo lipo wapi? Leo mfungaji...
  19. George Ambangile: Mchezaji wangu bora wa msimu ni Djigui Diarra

    " Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping. Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza kupooza presha ya mashambulizi, ni mzuri sana katika kupanga mabeki wake yaani ni kiongozi kutokea...
  20. Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimia wananchi

    Igunga, Tabora Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akisalimiana na Wakazi wa Kitongoji cha Mhama Mmoja Kijiji cha Itumba akiwa siku ya Pili ya Ziara ya Kikazi Jimboni. Baada ya Ziara ya Kikazi, Mheshimiwa Ngassa (MB) amekutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…