genz

Genz (Persian: گنز; also known as Genizī and Gīnzī) is a village in Irandegan Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 361, in 92 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani: ni GenZ waliomuangusha Trump katika uchaguzi wa mid-term

    Vijana wa GenZ ndio wamefanya kazi kubwa kujiandikisha na kupiga kura dhidi ya siasa za TRUMP , huko Marekani. Vita ya Iran ilikuwa inatishia kuanza kuandikisha vijana kwenda vitani Irsn, hili halikuwapendeza. Pili hali ya uchumi ilizidi kuzorota ambapo chakula, mafuta na vitu vingi vilpanda...
  2. Mzee wenu nimegundua kitu fulani katika harakati za kutongoza hawa mabinti wa GenZ 😀

    Nimegundua ukiwa unachati na binti wa Elfu mbili basi usimalizie maneno. Nimetambua ya kuwa ukiwa mtu wa kumalizia maneno itaonekana mshamba, yaani hujui kitu na pia si romantic 😅 Andika vp badala vipi itaonekana unajua mapenzi. Andika nakpend badala ya nakupenda itaonekana mwenye nguvu za...
  3. GenZ wa Kenya sina hamu..ha ha ha!

    Ruto, alias Kasongo ana umilia mengi!
  4. Hakuna sahihi ya GenZ yeyote kwenye mikataba mibaya inayolitafuna taifa, tujilaumu sisi mababa zao kwa mmomonyoko wa maadili

    Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana kwamba tabia zao zimesababisha hali tuliyo nayo kwa sasa. Kimsingi vijana wa 2000 bado nawaona watu...
  5. Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  6. Katika kipindi chetu sisi wadada wenye makalio makubwa walichukuliwa kama watu wanene wa kawaida, eti Gen Z anabisha!

    Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake. Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile
  7. Ulikuwa wapi? GenZ mtupishe kidogo

    Enjoy Gen X na Millenia 😊 ☺️
  8. Ndoa kwa GenZ na Millennials zitaendelea kuwa ngumu ;

    Kuanzia watu wenye miaka 33 ambao hawajaingia kwenye ndoa Kuna uwezekano wakashindwa kuzimudu ndoa kabisa na kupelekea ongezeko la single mothers nchini Sahivi maisha yanaenda Kasi sana ebu fikiria matukio haya yafuatayo 1;Ndoa kwa njia ya harus za kifahari 2; Baby shower 3; 40 ya mtoto...
  9. Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  10. Haya maneno mawili ni Kiswahili kilichopotoshwa na GenZ

    Yatumie kwa tahadhari kubwa Tutaco Gutaco
  11. Dkt Dorothy Gwajima anawamudu sana Gen Z. Wabadilishane wizara na Nanauka

    Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii. Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa wapole. Tunapambana naye sana huku.social media lakini mwisho wa siku anatutoa Knock out tunakimbia...
  12. CCM badilisheni mbinu. Hawa GenZ fikra zao zipo mbali na fikra za CCM(Conservativeness)

    Mpo salama! 1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana. Umoja wa kitaifa hapa tunazungumzia kiwango kidogo cha Ubaguzi wa kikabila na udini. Kwa hilo CCM...
  13. Wanaume wa 50+ GenZ wanawatesa kwa kuyataka wenyewe

    Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia. Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza...
  14. Q

    Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

    Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much. Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa...
  15. T

    Kuna vijana sio GenZ

    Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali. Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku install apps au ku rest simu. Kijana hamjui Maduro wala hajui kinachoendelea Iran. Kwa kifupi...
  16. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  17. Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae

    Lissu akiachiliwa tu alisema hatopoa ni mchaka mchaka maandamano kila siku tena yeye atayaongoza mwenyewe Genz mjiandae. Lazima tu ataachiliwa hata kama sio leo na akiachiliwa siku hiyo hiyo atakinukisha atakusanya watanzania barabarani yeye ndie rais wa wananchi.
  18. Tafadhali GenZ msije mkaingia huu mtego wa Maria kuvamia magereza, mtachakazwa vibaya mno

    Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
  19. GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
  20. Gen Z kashajitoa Mhanga huko Rungwe sikiliza hii nyimbo

    Ngoma hii hapa. Anasema yeye ni mbuzi wa kafara haogopi kufa wala kutekwa Tukumbuke Mwigulu ndo katoka juzi juzi huko. Je wataua na kuteka wangapi? Wakikamata mmoja wanaibuka mia ahah aha ha ha Haya mambo yanamwisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…