gachagua

Gachagua is a surname. Notable people with the surname include:

Clifton Gachagua (born 1987), Kenyan poet and writer
Nderitu Gachagua (1952–2017), Kenyan politician
Rigathi Gachagua (born 1965), Kenyan politician

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Tunataka Uchaguzi wa Rais Utangazwe,” Gachagua Aambia IEBC

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amezua mjadala baada ya kutoa matamshi akimkosoa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuhusu suala la uchaguzi wa urais. Katika hotuba yake, Gachagua alionekana kuhoji mwenyekiti huyo kuhusu msimamo wa tume kuhusu uchaguzi...
  2. O

    KWELI Je, ni kweli RMS ilisema Gachagua alilipa KSh milioni 1.45 kwa mahojiano ya JKL?

    Machapisho yanayoenezwa kwenye mtandao wa X yanadai kuwa kampuni ya Royal Media Services (RMS) imethibitisha kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alilipa KSh milioni 1.45 pamoja na VAT kwa ajili ya mahojiano yake yaliyopangwa kwenye Citizen TV, chini ya mipango ya muda wa hewa wa...
  3. O

    "Hata Mkafufue Kibaki, Wewe ni Wantam Tu!" Gachagua Amvaa Ruto Vikali Kuelekea 2027

    Joto la kisiasa nchini linaendelea kupanda huku kukiwa na misuguano mikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Aliyekuwa Naibu wa Rais, Rigathi Gachagua, ametupa kombora zito kwa Rais William Ruto akisisitiza kuwa utawala wake uko mashakani na utahudumu kwa muhula mmoja tu. Akizungumza kwa...
  4. O

    Gachagua Aibua Mjadala Baada ya Kudai Mavazi ya Ruto Kwenye Harusi ya Binti Yake Yaligharimu KSh Milioni 100

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
  5. O

    Msiba Wamkumba Gachagua Tena: Dada Yake Mkubwa Eunice Nyangari Afariki Akiwa na Miaka 77

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameomboleza kifo cha dada yake mkubwa, Eunice Nyangari Gachagua, aliyefariki Alhamisi, Novemba 5, 2026, akiwa na umri wa miaka 77 katika eneo la Naro Moru, Kaunti ya Nyeri. Katika taarifa ya familia aliyoitoa Ijumaa, Novemba 6, Gachagua alisema...
  6. W

    "Ujeuri na Kiburi Cha Gachagua Yanaweza Kusambaratisha Upinzani" - Fred Matiang’i

    Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Fred Matiang’i, ameonya kuwa msimamo anaoueleza kuwa wa kiburi na majivuno wa kiongozi wa Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, unaweza kuhatarisha umoja wa upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Matiang’i ameeleza wasiwasi wake kuhusu namna...
  7. O

    'Kwani Kenya hatuna timu?' Gachagua amhoji Rais William Ruto kuhusu Mechi ya kufungua uwanja wa KSh145 Bilion

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemkosoa Rais William Ruto kwa kupanga kuufungua Uwanja wa Kimataifa wa Raila Odinga kwa mechi kati ya timu mbili za Ulaya, akisema hatua hiyo inawanyima wachezaji wa Kenya nafasi ya kushiriki katika tukio hilo la kihistoria. Akizungumza Jumatano, Oktoba...
  8. O

    SI KWELI Je, Ida Odinga Aliomba Msamaha Kwa Kumualika Rigathi Gachagua Kwenye Kumbukizi Ya Raila?

    Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa Ida Odinga aliwaomba Wakenya msamaha kwa kumualika aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga. Picha hiyo, yenye jina la Kenya News Flash na tarehe Oktoba 16, 2026, inanukuu kauli...
  9. SI KWELI William Rutto, ahudhuria mazishi ya kifo cha Rigath Gachagua

  10. W

    "Wamunyoro Texas Ni Mali Yangu" - Gachagua Athibitisha Kumiliki Ranchi Marekani

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amethibitisha kumiliki ranchi nchini Marekani, katika jimbo la Texas, anayoitaja kama “Wamunyoro Texas.” Gazeti la Daily Nation liliripoti uthibitisho huo. Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mali za viongozi wa kisiasa wa Kenya nje ya nchi, hasa...
  11. Je madai ya rigathi gachagua yanaweza kuwa na ukweli wowote?

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta pamoja na mke wake na watu wengine, alikuwa mshirika wa kibiashara wa Rais William Ruto na alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh1.5 trilioni (takribani...
  12. O

    Gachagua Adai Chivayo Alikuwa na KSh Trilioni 1.5 za Rais William Ruto

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amedai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, aliyefariki katika ajali ya helikopta pamoja na mkewe na watu wengine, alikuwa akihifadhi zaidi ya KSh trilioni 1.5 zinazodaiwa kuwa za Rais William Ruto. Akizungumza wakati wa mkutano na...
  13. W

    Ruto Amlipua Mwandishi - "Usiniletee Mambo ya Mtu Mjinga"

    Rais William Ruto alikumbana na swali la Mwanahabari kuhusu madai ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhusu madini ya niobium na rare earth yaliyopo Mrima Hills, huko kaunti ya Kwale. Badala ya kujibu moja kwa moja madai hayo, Ruto alimkatiza mwanahabari huyo na kusema: “Usiniletee maneno...
  14. O

    Sh8.2T Mrima Hill Minerals: Gachagua Adai Rais William Ruto Anaenda US Kusaini Deal

    Former Deputy President Rigathi Gachagua amedai Rais William Ruto anatumia safari yake ya Marekani, ambako anahudhuria UN General Assembly, kukamilisha agreement na kampuni ya Marekani kuhusu uchimbaji wa niobium na rare-earth minerals za Mrima Hill, Kwale. Gachagua amekadiria deposits hizo...
  15. O

    SI KWELI Gachagua Alidai Amewekewa Sumu?

    Graphic inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema akiwa Marekani kwamba alikuwa hajisikii vizuri na kwamba huenda alikuwa amewekewa sumu kabla ya kuondoka Kenya. Graphic hiyo inahusisha madai hayo na serikali ya Rais William Ruto na kudai...
  16. O

    Nani Anagrab Nani? Gachagua Amtuhumu Rais William Ruto kwa Muthaiga Golf Club huku KFS Ikisema Club Imeingia Karura Forest

    Former Deputy President Rigathi Gachagua amemshutumu Rais William Ruto kwa kile anachodai ni kutumia Kenya Forest Service (KFS) kuchukua sehemu ya Muthaiga Golf Club. Gachagua alisema members wa club walimtafuta baada ya KFS officers kuingia kwenye Holes 2 hadi 9, na akaeleza hatua hiyo kama...
  17. O

    Gachagua Aibua Madai ya “Black Site” Hurlingham: Je, Polisi Walikiuka Katiba?

    Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua ameibua madai kuhusu kuwepo kwa kituo cha polisi kisichotangazwa rasmi katika eneo la Hurlingham, Nairobi, alichokiita “Black Site.” Gachagua anadai kituo hicho kilitumika katika operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa gesi ya LPG, ambapo mitungi mingi...
  18. O

    FALSE Did Gachagua say he will arrest nothern leader once elected as the 6th president?

    The graphic claiming that former Deputy President Rigathi Gachagua promised to arrest Northern Kenya leaders when elected president is a fabricated digital edit.
  19. O

    Ndindi Nyoro Achora Mstari: “Ulimtukana Gachagua? Kwanza Omba Msamaha

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesema hatakuwa tayari kushirikiana na viongozi waliomtukana au kumdhalilisha aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, hata kama wataamua kuondoka UDA na kujiunga na upinzani. Nyoro alisema viongozi wa UDA waliomkosea Gachagua na sasa wanataka kujiunga na People’s...
  20. O

    Gachagua aweka sh1 milioni mezani: “Rais William Ruto akipata 30% Nyanza, njooni mchukue!

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameweka dau la Sh1 milioni, akisema yuko tayari kutoa fedha hizo iwapo Rais William Ruto atafanikiwa kupata angalau asilimia 30 ya kura za Luo Nyanza katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza na ujumbe kutoka Laikipia uliomtembelea nyumbani kwake Wamunyoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…