π§ππ‘πππ‘ππ π‘π π’π ππ‘ ππ¨π’π‘ππππ ππ¨π₯π¦π ππ πππ¨πππ¨π π
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Usultani wa Oman zimeweka lengo la kuongeza thamani ya biashara kutoka dola milioni 389 za Marekani hadi dola bilioni 1 ifikapo mwaka 2030, hatua inayolenga kukuza biashara na uwekezaji.
Katika mkutano wa Tatu wa...