Hizo Facts, zinaonyesha kuwa Mwaka 1999 dunia ilianza kuazimisha siku ya wanaume duniani. Lakini, miaka miwili tu baadae, 'wataalam' wakawa wanahangaika kutafuta siku maalum ya masuala ya Choo, wakaangalia Januari 1 hadi Disemba 31 wakaona ni tarehe Moja tu ndio inafaa, 19-Nov. Ambayo ni siku ya...