foleni

  1. Huyu waziri anazurula tu hapa Moshi, anapoteza fedha za umma bureee

    Yaani foleni imeanza kcmc imeenda mpaka ushirika wa Neema,waziri mmoja ana magari zaidi ya kumi heti wanakagua barabara zilizojengwa vichochoroni,Sasa tunauliza hii ndo barabara inayokagulowa kweli? Tumbaka!
  2. Ukweli kuhusu Foleni za Dar es Salaam!

  3. Tunaochukia foleni za Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wapambanaji leo kuna wazo lilinijia baada ya kusikia kiongozi mmoja wa serikali amesema inafaa tuanze kulipia kupita daraja la Tanzanite nikawaza hivi kwanini serikali isingeruhusu sisi tusiopenda kukaa kwenye mafoleni kutumia barabara za mwendokasi kwa kulipia?? Yaani...
  4. A

    KERO Hospitali ya Amana sehemu ya malipo kuna foleni isiyokuwa na maana

    Ukienda Hospitali ya Amana hapa Dar es Salaam pale sehemu ya Malipo kuna mtumishi mmoja tu na hivyo kuwa na foleni isiyokuwa ya lazima., Inachosha sana na kutusumbua wengi tunaokuwa na uhitaji wa haraka. Uongozi ufanyie kazi suala hilo.
  5. A

    KERO Changamoto ya Mifumo mibovu ya usajili na upangaji wa malazi kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi

    Mifumo ya kupokea na kusajili wanafunzi wapya pamoja na kugawa malazi katika Chuo Kikuu cha Ardhi inaonekana kuwa na changamoto kubwa za kiutendaji, zinazosababisha foleni zisizo za lazima, usumbufu na mazingira yanayoweza kuchochea upendeleo. Kwa mfano, utoaji wa namba za usajili (Registration...
  6. A

    KERO Responded Utaratibu wa tiketi za magari Kituo cha SGR Morogoro uboreshwe, unasababisha Watu wanaganda kwenye foleni

    Nina kero kuhusu utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa magari katika Stendi ya Jakaya Kikwete, mkoani Morogoro. Utaratibu uliopo si mzuri kwa sababu tunatumia muda mrefu kwenye foleni kusubiri kukata tiketi ili magari yaweze kutoka nje ya stendi. Changamoto hii inahusu magari yanayoleta na...
  7. M

    Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

    Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
  8. Je, kuna ulazima gani wa kusimamisha watu muda mrefu kwenye foleni kusubiri misafara ya viongozi?

    Habari za muda huu wakuu. Nilikua najiuliza, Je,kuna ulazima gani wa Traffic kusimamisha magari kwenye foleni ili kupisha misafara ya viongozi kwa muda mrefu? Yani unakuta gari zinasimamishwa kwa muda wa dk 30,45 au saa nzima eti tu kwa sababu wanasubiria kiongozi apite. Je,huwa ni kutokana na...
  9. Update: Foleni kubwa Barabara ya Mwai Kibaki

    Sasa hivi ni saa 18: 59 foleni ni kubwa sana gari za kutoka Morocco kuelekea kawe na kutoka kawe kuelekea Morocco hazitembei kabisa, Kama unaweza kutokupita barabara ya Mwai Kibaki usipite, tumia njia mbadala au subiri.
  10. KERO Foleni ya magari Mwenge, Dar yaendelea kuwa kero kwa wananchi

    Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
  11. A

    KERO Kwanini mfumo wa risiti za kuhudumia Wateja unakuwa na muda tofauti wa kusubiri na uhalisia?

    Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa moja. Hii ni kero kubwa kwa wateja. Karibu matawi yote ya CRDB yanaonekana kuwa na changamoto ya kasi...
  12. Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  13. H

    Foleni njia ya Goba kupita Makongo

    Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu zingine. Unaweza kaa kw foleni for 3hours sehemu ya dk25 na mamlaka zipo tuu. Ukifiatilia ni uzembe...
  14. KERO Responded Juma Nature: Manispaa saidieni raia, foleni ya malori ni kero kubwa Mbagala, tunataabika

    Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa. Nature, staa wa Sitaki Demu na Hakuna Kulala, ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Juni 20, 2026. Pia soma: ~ Hivi...
  15. A

    KERO Tunasota kupata Visa ya China hapa Dar, tunawahi foleni lakini siku ya tatu sasa hatupati huduma

    Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
  16. Kwanini Watanzania hawapendi kupanga foleni au kukaa kwenye mstari kwa utaratibu kabisa?

    Kama umefika umekuta watu wamepanga foleni au kuna mstari wanahudumiwa kwa nini usikae kwenye foleni na wewe usubirie zamu yako ili waliokutangulia kuwahi wahudumiwe kwanza?! Kama uko barabarani kwa nini unatanua? Tabia za kipumbavu na kinyani za Waafrika zinaanzia mbali sana. Tukiwa shule ya...
  17. Foleni zinavyotuweka kwenye majaribu

    Wakuu picha ndilo linaanza
  18. KERO Lugalo hadi Mwenge kuna foleni balaa

    Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata, natamani hata nilitelekeze gari nichukue boda maana kuna mahali natakiwa kuwahi... Hii ya leo ni...
  19. KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

    Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale. Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem. Mamlaka...
  20. Morogoro Road kuna foleni leo hatari. Kama sio lazima usipite!

    Kuanzia Kibo kuelekea Mbezi foleni mbaya kwasababu ya ujenzi wa barabara. Matrafiki wamekimbia, barabara vurugu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…