filamu

  1. C

    Ifahamu dola ya Maya iliyooneshwa kwenye filamu ya Mel Gibson "Apocalypto"

    Miaka kadhaa tangu kutolewa kwa filamu ya Apocalypto(mwaka 2006),bado nimeguswa kuandika makala yangu ya kwanza kwenye blogu hii kuhusu filamu hiyo.Ninaipenda sana filamu hii. Mel Gibson na Farhad Safinia ndio walioiandika Apocalpto.Wawili hawa walikutana kwenye matengenezo ya mwisho mwisho ya...
  2. Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

    Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…