fedha

  1. Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
  2. R

    Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
  3. Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Watakiwa kutenga Fedha za Ndani ili Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi

    WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala. Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023...
  4. Kauli ya Tanzania kuingia uchumi wa kati Dr Philip Mpango wakati huo ulikuwa waziri wa Fedha, imeishia wapi ?

    Mwenye kuweza kutuambia ile kauli mbiu imeisha wapi?
  5. M

    Kama naziona vile Sura za waliotaka Waziri wa Fedha Dk. Nchemba atumbuliwe kwa 'Kariakoo Saga' na hajatumbuliwa zilivyo sasa

    Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za Hazina ziwe zinasaidia Timu pendwa Moyoni ya Dk. Nchemba na inayopendwa pia na huyo huyo Mstaafu...
  6. Mbunge /Mwanasheria mwenye kuifahamu sheria ya fedha Za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Tunaomba atueleweshe tafadhali

    Tunaomba msaada kwa mwenye kufahamu anayeweza kutuwekea hapa sheria ya fedha za mfuko wa jimbo sura 96 ya mwaka 2006. Ninaona Halmashauri karibia zote hazijui sheria hiyo na fedha Za mfuko wa jimbo zitakuwa na kutumika na ukoo wa mbunge husika katika jimbo.
  7. Naibu Waziri Khamis Hamza - Fedha Zinatumika kwa Kusimamia Miongozo

    MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni yaliyoulizwa na Mhe. Zahor Mohamed Haji ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mwera "Fedha za...
  8. M

    Waziri wa Fedha Dk. Nchemba upo na upo tayari?

    MINOCYCLINE nakukubali mno kwani Wewe ndiyo Waziri pekee unayependwa sana nchini na hasa Wafanyabiashara wa Masoko yote nchini na hata katika Mkutano Waziri ambaye hakusemwa kabisa ulikuwa ndiyo Wewe. Hongera mno Waziri Dk. M Nchemba.
  9. B

    Hawa waliomshangilia kwa bashasha Waziri wa Fedha Jana pale Kwenye Mkutano ni wafanyabiashara wa wapi? Modarators huu uzi usiunganishwe.

    Nimefuatilia kikao kile, nimesikiliza hoja za wale wafanyabiashara, nikaona masikitiko yao. Lakini wakati wa kuagana na baada ya PM kuwa ameondoka jukwaa likavamiwa na wafanyabiashara waliojaa bashasha na nderemo wakimpongeza Waziri wa fedha. Leo naona ile clip yenye nderemo iko pinned kwenye...
  10. K

    Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

    Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
  11. Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  12. K

    MHE. RAIS KWA HILI LA KARIAKOO ANZA NA WAZIRI WA FEDHA

    Kumekuwa na malalamiko lukuki kuhusu kodi na ushuru mbalimbali kwa Wafanyabiashara wa hapa nchini. Mshauri wako mkuu ni Waziri wa Fedha ambaye kwa ushauri wake anawaumiza wafanyabiashara na hii imefanya wafanyabiashara kugoma hasa pale Kariakoo. Ninavyoona mgomo huu utaenea nchi nzima kama...
  13. Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli Iliyopo Mpimbwe, Katavi Kujengwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    MBUNGE MARTHA FESTO AHOJI UJENZI WA SKIMU YA MWAMAPULI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Martha Festo alielekeza swali Wizara ya Kilimo kutaka kujua ni lini Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli itaanza kujengwa katika Halmashauri ya Mpimbwe "Je, ni...
  14. UWAJIBIKAJI: Tra&polisi ilala, Mawaziri Biashara, Fedha na Umeme bungeni waziri Nishati na kamati bungeni

    Hii sio nchi ya mtu mmoja au kikundi Cha watu fulani wachache hvyo likitokea Jambo tunaunga kwa pamoja kutatua changamoto. Kero za Tra na Askari kukamata mizigo ovyo ovyo sio kariakoo tuu ni swala la kitaifa. Kero za umeme kukatika bila mpangilio sio let bungeni tuu Bali swala la kitaifa...
  15. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo Azungumzia Upotevu wa Fedha za Maadwa MSD

    MBUNGE KWAGILWA REUBEN NHAMANILO AZUNGUMZIA UPOTEVU WA FEDHA ZA MADAWA MSD NA WASHITIRI Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma amesisitiza kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za dawa na vifaa tiba kupitia...
  16. R

    SoC03 Upigaji mkubwa fedha za Serikali RC Songwe akataa matumizi ya mil 411 ujenzi wa soko la wamachinga

    UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
  17. Kwanini ukianza kupata fedha, kama hukuwa nazo mwanzoni, changamoto na matatizo huongezeka?

    Wakuu habari za jumapili. Natumai nyote hamjambo. Twende kwenye mada tajwa, kwa nini mtu ukianza kupata pesa matatizo, changamoto huongezeka. Matatizo meng huwa ni ya kiuchumi mradi tu usiweke savings. Je, ni mimi tu ninayekutana na hili au kuna na wengine? Karibuni tujadili.
  18. U

    Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

    Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi. Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
  19. J

    Atupele Mwakibete: Hakuna fedha ya Serikali iliyopotea

    VIDEO: Kutoka Bungeni jijini Dodoma, Swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina lajibiwa na Serikali Ambapo Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amethibitisha kuwa hakuna fedha ya Serikali iliyopotea.
  20. SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…