fedha

  1. KIMBIA LAWAMA: Ifuatayo ni orodha ya watu hawapaswi kukopeshwa Fedha zako

    Chunguza vizuri sana.. Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa... Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha! Wa kwanza ni mzazi wako Ushauri wangu Njia pekeeya kumkopesha...
  2. Kwanini watu wajinga wร jinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

    Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake. Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara . Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo Ama aandike au arekodi video...
  3. ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  4. T

    Vijana 125 watelekezwa Singida baada ya kuahidiwa kazi za Q NET licha ya kutozwa kiasi cha fedha

    Serikali wilayani Singida imewataka vijana wanaojihusisha na biashara ya Q-NET kuacha shughuli hiyo na kurejea makwao, kufuatia tuhuma za kulaghaiwa kwa ahadi za kupata malipo makubwa yasiyoendana na uhalisia. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, baada ya vijana...
  5. A

    KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  6. Nyerere kaiuza Tanganyika kwa vipande 30 vya fedha

    Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda...
  7. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tunaambiwa hawana mpango wa kulipa Fedha za Kujikimu

    Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
  8. A

    KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  9. Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  10. O

    # ๐Ÿš˜ UNAPANGA KUAGIZA GARI JAPAN, UK, AU JAPAN? PANGA FEDHA MAPEMA KUPITIA OZB FINANCE AGENT!

    Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika bandarini Tanzania, lakini unatafuta namna ya kugharamia ushuru wa forodha na gharama nyingine za...
  11. Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  12. Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  13. Responded RC Chalamila: Mzabuni arudishe fedha za Mchinga Temeke aliowauzia meza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe pesa alizozidisha, ameyasema hayo leo Oktoba 7, 2026. Pia soma ~ DC wa Temeke na Mkurugenzi wanauza meza kwa wafanyabiashara wadogo bila Risiti wala Control...
  14. A

    KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu...
  15. M

    Zamani kutoboa kabla ya 30 ilikuwa hadithi, leo Gen Z wamevunja mwiko, watoto wadogo pesa mlima, hiki ni kizazi kilichojua kutafuta pesa mapema sana

    Naposema kutoboa simaanishi matajiri wenye mabilioni kama kina Lugumi, NO! Ni watu walioweza angalau kufikia uchumi wa kati, wana uwezo wa kuingiza milioni na kuendelea kwa mwezi, wamejenga au wapo kwenye process, wana magari, wana biashara au vyanzo vya ziada vya kipato, wanawekeza, wana uwezo...
  16. A

    KERO Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha

    Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha. Washiriki tulitoa fedha...
  17. A

    DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Afya Fumagila. Kuna Wagonjwa wanatozwa fedha taslim badala ya Control Number

    Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
  18. CHADEMA MLIPENI RENATUS FEDHA ZAKE

    Aliyekuwa mwajiriwa wa CHADEMA kama Katibu wa Kanda ya Serengeti kuanzia Julai 27, 2013 hadi Desemba 31, 2020 anaendelea kupigania haki yake katika Mahakama kufuatia kuzungushwa na uongozi wa CHADEMA kwa muda mrefu, huenda Nzemo akalipwa fedha zake baada ya kutumia nguvu ya kisheria kudai haki yake.
  19. Mhandisi Munde aagiza hazina SACCOS kuimarisha usimamizi wa fedha za Wanachama

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, ukaguzi wa ndani na udhibiti wa mikopo pamoja na urejeshaji wake. Munde aliyasema hayo...
  20. A

    Responded Halmashauri ya Mufindi tumeanza kulipwa fedha zetu za Kujikimu, japo tumelipa nusu

    Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ