fedha

  1. KERO Wanafunzi wa IFM wanateseka kusubiri refund zao, huku Idara ya Fedha ikikosa uwajibikaji na huduma stahiki!

    Ninaomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (Institute of Finance Management – IFM), hususan suala la kucheleweshewa marejesho ya fedha zao (refunds). Inasikitisha kuona wanafunzi wakisubiri fedha zao kwa...
  2. C

    Chalamila: Unakosa elfu mbili ya taka unafaa kukaa dar es laam kweli?

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi wanaoshindwa kulipa ada za uzoaji taka kuhakikisha wanatimiza wajibu huo ili kuwezesha huduma za ukusanyaji taka kuendelea kutolewa kwa ufanisi. Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 14, 2026, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya...
  3. Tamaa ya fedha kupita kiasi; is it worth it?

    Nisinukuliwe vibaya, ni kwa nia ya kuchokoza mada ili tujue ni kwanini ufalme wa pesa unazidi kuwa mkubwa duniani na Tanzania kwa ujumla. Nitazungumzia Tanzania kwa sababu ndo ninaishi, huko duniani kwengine siwezi ku-draw conclusion sababu sijaishi. Aisee, yaani sasa kila mtu hapa Tanzania...
  4. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  5. Nachukia sana Kabila nililozaliwa Tanzania, nikabila la hovyo linalonyanyasa na kudharau wote wasiokuwa na uwezo wa fedha, nimejitenga nalo

    Mimi nilizaliwa Tanzania kabila moja na hovyo na kipuuzi kuwahi kutokea duniani Kwanini natumia maneno makali hii nikwasababu linadharau na kuwanyanyasa watu wake wasiokuwa na uwezo wa kifedha na limefikia hatua mbaya zaidi linaua watu wake kwasababu za kujinufaisha yaani kama mmoja wao ana...
  6. C

    FBI:Wadukuzi wa Korea kaskazini wameiba mamilion ya fedha

    Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI, limesema wadukuzi wanaoungwa mkono na serikali ya Korea Kaskazini wameiba zaidi ya dola milioni 400 kupitia mbinu mpya ya udanganyifu inayotumia video za bandia za AI (deepfake) na wizi wa utambulisho wa wenye akaunti. Kwa mujibu wa FBI, wahalifu hao...
  7. A

    RESOLVED Wachimbaji Wadogo wa Madini Geita tumerejeshewa fedha zetu, asanteni JF

    Tunashukuru sana JamiiForums kwa kutuwezesha kulipwa stahiki zetu, sisi ni wale wachimbaji wadogo ambao tulitumia Jukwaa la Fichua Uovu kuelezea suala letu la kutolipwa fedha tuluzochanga kwa ajili ya safari ya Canada lakini haikuwezekana kwawengi wetu. π‘πšπ’π¬ 𝐰𝐚 𝐒𝐑𝐒𝐫𝐒𝐀𝐒𝐬𝐑𝐨 π₯𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐲𝐚...
  8. Dkt. Mwigulu: Tengeni fedha za mafuta ya magari ya wagonjwa

    β–ͺ Aonya watumishi wanaodai michango ya mafuta kwa wagonjwa wa dharura β–ͺ Aagiza uchunguzi wa matumizi na upatikanaji wa dawa β–ͺ Ataka maandalizi ya barabara za Solwa yaharakishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutenga fedha za mafuta ya magari...
  9. Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  10. A

    KERO Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu hatujapata Fedha za Kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa Serikali Mkoa wa Mwanza, Halmashauri ya Ilemela, Kada ya Ualimu, mimi na watumishi wenzetu walioajiriwa Mwaka 2026 Januari hatujapata fedha za kujikimu mpaka sasa. Tulijaza fomu za malipo mwezi wa 9 na tukaambiwa halmashauri zilishaingiziwa fedha kwa ajili ya kuwalipa...
  11. Wadau Wa Maendeleo Waipongeza Tanzania Kwa Mafanikio Ya Maboresho Ya Usimamizi Wa Fedha Za Umma

    Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
  12. O

    Kenya: Kesi Mahakamani Kupinga Serikali Kutumia Fedha za Umma Kuandaa Mechi ya Bayern Munich na Ajax

    Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium. Katika ombi lao la...
  13. R

    Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  14. M

    Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  15. A

    KERO SUMA JKT GUARD hawapeleki fedha za Wafanyakazi wake PSSSF, wakiulizwa wakali sana

    Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana. Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma. k
  16. Je ni sahihi familia kuwa na Account moja ya kuhifadhia fedha?

    Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki, kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast. Let say father umepiga 15m wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
  17. O

    Fedha ujenzi wa meli abiria 600 zatafunwa fedha ujenzi wa meli abiria 600 zatafunwa,mradi wakwama Kigoma

    FEDHA UJENZI WA MELI ABIRIA 600 ZATAFUNWA,MRADI WAKWAMA KIGOMA Mradi mkubwa wa Meli ya abiria 600 iliyokuwa imekusudiwa kujengwa mkoani Kigoma umekwama kutokana na fedha za awali (advance) zilizokuwa zimetolewa na serikali ili kuanza ujenzi zimetafunwa. Mradi wa meli hiyo ambayo ujenzi wake...
  18. Shigongo amweka ndani Mtendaji wa Kata ya Kafunzo kwa madai ya kutafuna fedha za Mfuko wa Jimbo

    Mwenyekiti wa Mfuko wa Jimbo la Buchosa ambaye ni mbunge wa jimbo hilo Eric Shigongo ameelekeza kukamatwa na kuswekwa ndani Mtendaji wa Kata ya Kafunzo Chuma Sengerema kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mfuko wa jimbo kiasi cha shilioni milioni tano. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa...
  19. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama tumelipwa 250,000 tu ya fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo. Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
  20. KIMBIA LAWAMA: Ifuatayo ni orodha ya watu hawapaswi kukopeshwa Fedha zako

    Chunguza vizuri sana.. Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa... Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha! Wa kwanza ni mzazi wako Ushauri wangu Njia pekeeya kumkopesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…