faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya nyama choma. Mbinu, changamoto na faida zake

    Salam wakuu. Nimejikuta navutiwa kufanya hii biashara ya nyama choma (Grilled meat). kwa walio wazoefu na hii biashara naomba michango yenu kuhusu changamoto, gharama, mbinu na faida za kuanzisha hii biashara. Thanks in advance. ======== Baadhi ya Michango =========
  2. JamiiForums Tanzania Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

    Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu. Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui. Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99. Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
  3. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

    Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+ Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini? Tabia? Mwonekano? Au nini??
  4. JamiiForums Tanzania Hasara na Faida za Corona

    Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia; 1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu 2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida kusajili gari nje ya nchi

    Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili nchi ikarudi mfumo wa chama kimoja: Ikitokea hivyo ni faida kwa nani?

    1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine. 2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja 3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

    Hello...!! Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize. Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na nini kwa unywaji wangu huu wa soda. Nikagundua sifahamu manufaa yeyote. Hususani kiafya zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Zijue faida za uaminifu katika mahusiano ya Ndoa

    Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
  9. JamiiForums Tanzania Tuziangalie faida za Corona kiuchumi kwa nchi zinazoendelea

    Yes! Hili ni janga kwa kuwa watu wanakufa, production zimepungua kwa nchi zilizoendelea kwa baadhi ya vitu. Kama wanavyosema development is freedom then uhuru umepungua kwa watu kufungiwa Lakini bado ziko fursa kwa nchi zinazoendelea kuweza kukuza uchumi wa nchii zao ka kipindi hiki kifupi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Niliwashauri ATC wasiende China kupitia Bangkok, hawatapata faida njia ina ushindani sana, naona hawakusikia

    Naona ATCL wameamua kwamba wataenda China kupitia Bangkok, Thailand Bangkok. Njia hii ina ushindani sana, haitakuwa na faida kwao kupitia Bangkok na kushindana na mashirika makubwa ambayo yameweka mizizi sana kwenda au kupitia Bangkok pamoja na Ethiopian Airways and Kenya Airways. Ninawashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

    Akupendae humpendi,umpendae hakupendi. Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali. Atakupa penzi lote kwa sababu ana mapenzi ya kweli.Haijalishi hata Kama wewe humpendi,jizoeshe kuwa nae tu. Lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara ya Tume ya Uchaguzi?

    Salam wana JF Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali pamoja na baadhi ya Viongozi wastaafu kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, 2020. Upande wa pili kumeibuka kundi linalopinga uwepo wa Tume Huru ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nini faida za strawberrymwilini?

    Naam! Habali za kazi ndugu wana jukwaa kama kichwa cha Habari kinavyosema. Kwa wale wataalamu, wa afya nilikuwa naomba kueleweshwa faida kiafya ya kula matunda haya, nimeona yanaliwa sana ila faida zake katika mwili sijajua. Asante!
  14. JamiiForums Tanzania Faida za kula nyama nyeupe

    Nyama nyeupe ni ipi? Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote. Nyama nyekundu ni ipi? Hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua faida za diplomatic passport?

    Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits. Mfano: 1. Fast check to airports kwake na familia yake. 2. Diplomat immunity in case of anything kwake na...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu. Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku. Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo: 1. Aina ya biashara 2. Mtaji unaotumia kuzalisha faida ya 30,000 Kumbuka waliofanikiwa sio wachoyo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Salaaam. Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa. Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75% wanashiriki ngono kabla ya kiapo cha ndoa. Kwa mtazamo wangu huko n kushusha thaman ya neno harusi au ndoa...
  18. JamiiForums Tanzania Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo. Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…