faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kazi sana kuikagua kampuni inayochimba madini au mafuta endapo muda wa kugawana faida umefika au bado.

  2. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuukalia uchumi ndio sasa inadhihiri

    Old is gold, ni kama alikuwa na maono fulani hivi ,pale Raisi wa mwanzo wa Tanzania Mwalim JK.Nyerere (Julius Kambarage Nyerere) alipowafurahisha wengi na kutupa msemo wa "Watanzania uchumi wanaukalia". Tuna gesi asilia,tuna mafuta ,tuna Uranium tuna mengi tu,itatu hivi ni lulu kwa Taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  4. JamiiForums Tanzania Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  5. JamiiForums Tanzania Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

    Mwenye biashara yake kakuambi kabisa hii bidhaa ni hatari kwa afya yako bado unanunua sa tunakutafsiri vipi wewe? Kwanini usomi wako usiutumie kufundisha wengine madhara ya sigara? https://news.un.org/sw/story/2020/01/1079881
  6. JamiiForums Tanzania Hivi faida ya bidhaa fulani inatakiwa iwe asilimia ngapi ya mtaji?

    Baadhi ya vijana wenzangu huwa wananiacha hoi! Mfano, umenunua bidhaa inayokupa faida ya asilimia 5 ya mtaji, ukiwaambia hiyo ndo faida aiseh, utapondwa balaa basi mimi nauliza je faida huwa ni asilimia ngapi ya mtaji? Yaani ununue kitu buku, kisha uuze buku mbili au uuze buku miambili au...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapinga NEC kuunganishwa kwenye Kesi ya Halima Mdee na wenzake. Je, ni kwa faida ya nani?

    Mara tu baada ya kuvuliwa uanachama, Halima Mdee na wenzake walitinga mahakamani na kufungua kesi na mmoja wa walalamikiwa ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Chadema wanapinga NEC kushitakiwa kwa sababu ni kinyume na katiba. Ila NEC ndio wangetanzua mzozo wa mamlaka iliyowateua akina Halima...
  8. JamiiForums Tanzania Tumia mtaji huu, ufanye shughuli hii, utengeneze kiasi hiki cha faida

    Habari wana JF, Leo tupeane maarifa! Ni kwa wale tu wafanya biashara au watu wenye experience na biashara kutoka kwa ndugu ama marafiki! Haijalishi ni biashara kubwa ama ndogo, weka hapa ujuzi watu wajinyakulie maarifa ili kupata pesa ya ziada ya kulipia kodi ya namba ya NIDA [emoji23][emoji23]...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  10. JamiiForums Tanzania Ngono (kuzini), faida na hasara zake

    Nitajitahidi nieleze hili kwa kifupi nisiwachoshe, naomba wakosoaji mje na ushahidi usije kukosoa hapa kwa vijimaneno ulivyobebeshwa na katekista au shehe wako huko bila kusoma mwenyewe. Nianze kwa andiko la Bwana wetu Yesu kristo alipoulizwa kuhusu kuzini. Mathayo 5:27-28 [27]Mmesikia kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Faida za Mazoezi ya Kutembea

    Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa. Kwenda matembezi ya kawaida huimarisha moyo wako na mifupa. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Wamesema hawapunguzi nauli: Je, hiyo ruzuku ya mafuta ni kwa faida ya nani?

    Kumekucha wakuu, Nipo siti yanyuma kwenye gari ya abiria. Nikiwa nimetulia zangu mara nastushwa na mtoza nauli akidai chake. Mara napata faraja baada yakukumbuka leo ni Juni2 ambapo bei ya mafuta imetangazwa kupungua toka Juni 1. Nimempa nauli nilokua nimezoea kulipa kabla ya mafuta kupanda...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo 1. Kusajili kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and...
  14. JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

    Mkuu, Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious? Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani. Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
  15. JamiiForums Tanzania Milango ya chuma ni Bora dhidi ya mchwa,lakini ni zipi faida zake zaidi na ni yapi mapungufu yake?

    Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma, Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi. Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ajira ambayo Ina faida Sana japo ni Jambo jipya DEALNO1. Welcome

    Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo. Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda. Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Poland inachekesha, Wakati yenyewe imegoma kununua gesi toka Urusi, inaitaka Norway iwagawie faida wanayopata kwa kuwauzia gesi kwa bei ya juu

    Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi). Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE...
  18. JamiiForums Tanzania Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  19. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Tahajudi na Faida Zake (Faida za Meditation)

    Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo kilichoanza hivi sasa bali ni kitendo kilichoanza tangu zamani na kimekuwa na faida mbalimbali kwa watu waliojifunza na kufanya taamuli. Wengine ni kutokana na kupunguza stress, kujifunza kuongoza akili...
  20. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…