faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida za kiafya za Biringanya

    Biringanya ni moja ya vyakula maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupatikana pia kwenye maeneo mengi ya bara la Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa (snack). Biringanya ni nini? Pamoja na nyanya, viazi na pilipili hoho, Biringanya (Solanum melongena)...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) una faida nyingi kwa Watanzania

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo: 1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa mishahara ya dola za Marekani Milioni 102 ambazo ni sawa na Bilioni 238 za kitanzania 2. Mradi huo...
  3. JamiiForums Tanzania Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

    Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi. Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Faida za mkopo wa muda mrefu na mfupi

    Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8. Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Faida Katika Kuamini Uwepo wa Uzima Baada ya Kifo Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndu

    Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake. Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
  7. JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

    Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Faida 5 za juice ya mkongo

    Habari Wadau, Karibun Mpate Juice Ya Kikongo (Asilipowerplus) Mahususi Kwa Ajili Ya Kutibu Matatizo Yote Ya Nguvu Za Kiume Juice Hii Inafaida Nyingi Kama Vile 1. Kukuwezesha Kusimamisha Mashine Kwa Muda Mrefu yaani masaa mawili bila kulegea. 2. Inakupa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Kukufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Bandari ya Bagamoyo na uwanja wa ndege wa Msalato ni miradi isiyo na faida?

    Tanzania tumejariwa utajiri wa rasilimali madini,gesi asilia na mafuta,utajiri huu ni kinyume na maisha halisi ya wananchi wa Tanzania, nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini, tunahitaji uwanja wa kimataifa kwenye mji mkuu wa nchi ili kuweza kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Russia anapata faida nono ya gesi halafu mnasema atafirisika, mtasubiri sana

    Russian LNG exports rising – Bloomberg Countries are rushing to secure supplies for winter despite the push by Western nations to abandon Russian energy © VCG via Getty Images Exports of liquefied natural gas (LNG) from Russia surged in October despite the push by the West to cut reliance on...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  12. JamiiForums Tanzania California - Marekani: Watawa walima bangi

    Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi wa haki za wanawake, lakini muhimu zaidi, ni wafanyabiashara. Licha ya kuwa California...
  13. JamiiForums Tanzania Faida nyingi za kutembea kwa mguu

    Miguu yote miwili kwa pamoja ina 50% ya neva za mwili wa binadamu, 50% ya mishipa ya damu, na 50% ya damu katika mwili wako wote inapita kupitia hiyo. ▪️ Ni mtandao mkubwa wa mzunguko wa damu unaounganisha mwili. _*hivyo tembea kila siku.* ▪️Ni pale tu miguu inapokuwa na afya nzuri ndipo...
  14. JamiiForums Tanzania Faida za Komamanga

    Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum. Virutubisho Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids, ellagitannins, na proanthocyanidin, pamoja na madini ya potassium, calcium, phosphorus, magnesium na sodium...
  15. JamiiForums Tanzania Zijue faida muhimu za mmea wa Bamia (Okra)

    🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi. 🥕2. Halikadhalika ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna pamoja na mdimu kila siku asubuhi kama ulikuwa na kinyama kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

    Jamani nyumba za kupanga zina shida sana. Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbani kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
  17. JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia. Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa ambazo unaweza kuanza nazo kwa mtaji wa laki moja lakini cha kwanza kabisa lazima tujue kuwa biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki ni nini na kina faida kani

    Simu yangu nimeiseti kila ikifika saa nane usiku muda ambao siitumii simu basi ijizime na kujiwasha yenyewe ili iwe na performance nzuri kila siku sasa leo nakuta ina hicho kialama cha VoLTE ni nini hicho
  19. JamiiForums Tanzania Nipo Dar, nahitaji hustler mmoja anipe idea ya kuwekeza 400k then nipate Angalau faida ya 20k kwa siku

    Huyo hustler ntampa 70k kama Asante. NB hii idea before ajanipa Nampa hiyo 70k kwanza sitaki ujanja ujanja. Nipo DSM. NB: Mimi ni hustler na nimeshatapeliwa Sana so endapo nikikupa hiyo 70k ukapotea utakuwa unataka kunifanya niendelee kukaa kwa shemeji tu.
  20. JamiiForums Tanzania Faida na Tahadhari za Chuchu Bandia (Pacifiers)

    Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi. Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au hata kukamilisha biashara na kazi zao zingine. Faida Chuchu bandia huwa na faida nyingi. Miongoni mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…