faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo: Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye faida Kwa mtaji wa Tsh 10 milioni mkoani Arusha

    Wanajamvi naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara itakayonipatia faida mtaji 10M, location - Arusha Note 1. Biashara ambayo haitahitaji usimamizi wangu wa karibu 2. Itakayonipa urahisi wa kumu-monitor nitakayemuweka kusimamia biashara
  3. JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za kubaki au kuuvunja muungano wetu?

    Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara. Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Je ni ipi faida ya kuwa katika huu ukurasa wa jamiiforums

    Kwanza nitangulize samahani na pia wasinichukulie vibaya wahusika wa jamiiforums. Kikubwa ni kutaka kujua ni kivipi mimi naweza kufaidika na kuwa katika huu ukurasa je kuna reward yoyote naweza pata au kitu chochote ambacho kinaweza kunivusha kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
  6. JamiiForums Tanzania Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Wamesaidia kujenga awareness kwa wananchi kuhusu masuala yanayoendelea kwenye nchi
  7. JamiiForums Tanzania Faida za kunywa maji asubuhi

    Katika mwili wa binadamu, unywaji maji husaidia sio tu kuondoa kiu anayokuwa nayo mtu, bali pia kufanya kazi mbalimbali katika mwili ikiwa ni pamoja na kutuepusha dhidi ya magonjwa mbalimbali. Maji huchukua karibu asilimia 70 ya mwili wa binadamu, na seli za ubongo zina karibu asilimia 85 ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbuka Kuwa Na Shukrani Mara Kwa Mara, Utaona Faida Kama Hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kumbuka kuwa na shukrani mara kwa mara, utaona faida kama hizi

    Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama. Shukuru kwa mambo mengi mola...
  10. JamiiForums Tanzania Faida ya kukimbia asubuhi na masuala ya kuzingatia

    Watu wengi tumekua tukikimbia barabarani nyakati za asubuhi. Hizi hapa faida na masuala ya kuzingatia: 1. Unapata faida ya jua la asubuhi ambalo wengi tunalikosa tukiwa katika pilika za kawaida. 2. Muhimu kuhakikisha unafanya warm-up ya kutosha kwa sababu asubuhi mwili unakua hauna mijongeo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Uvunjwe Kwasababu Hauna Faida Tanganyika

    Rejelea kichwa cha habari. Kuna haja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuvujwa kwasababu hauna faida yeyote Tanganyika. Tangu muungano huu Zanzibar ndiyo imekuwa ikinufaika kutoka Tanganyika lakini Tanganyika haijawahi kunufaika kutoka Zanzibar. Zanzibar wamekuwa wakichota mchanga na mawe...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Nilihamia upinzani kwa faida ya CCM

    "Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina milioni 3, nafikiria kufanya biashara yenye tija na kuleta faida

    Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walikuwa wanaumia na hoja ya kombe la looser ilikuwa ni kujifariji tu

    Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi? Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua. Niwaulize tu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  16. JamiiForums Tanzania Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

    Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana. Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata...
  17. JamiiForums Tanzania Tambua Faida Kubwa Za Kujiamini Mbele Ya Mwanamke

    Kujiamini katika unachokifanya. Kujiamini katika ukisemacho. Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani. Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na mwanamke anapoteana. Sababu kubwa ni kumkweza mwanamke juu yako. Unaweza kuwa na maneno/ mistari...
  18. JamiiForums Tanzania Urusi kuwa na mji wa Bakhmut na Soledar, hasara ni kubwa kuliko faida

    Tangu Urusi aivamie Ukraine Feb 2022 ni miezi 15 sasa, kuna mengi tumeona na kusikia kwa kila upande katika uwanja wa vita. Kuna maeneo matano (5) ambayo Urusi na Ukraine wameyafanya kuwa ni ngome za mapigano. Miji hii ni Bakhmut, Soledar, Avdiivka, Kreminna na Vuhledar. Katika miji hii...
  19. I

    JamiiForums Tanzania UTAWALA kimajimbo una faida/madhara gani. Tuchambue ili watu waelewe

    Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo. Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu. Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu. Please tujadili faida na madhara yake humu. NAWASILISHA.
  20. JamiiForums Tanzania Zijue faida za mafanikio ya Yanga kubezwa

    Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa wapi?(Ambayo ni timu imara na giant zaidi ya Yanga?) Achana na hilo swali utapigwa makofi. Wapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…