faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za Wachezaji wa kigeni kwenye Ligi Kuu ya NBC

    Kuwepo kwa wachezaji 12 wa kigeni katika ligi ya Tanzania, kumeleta faida na hasara mbalimbali. Baadhi ya faida ni pamoja na: Kuinua Ubora wa Ligi: Wachezaji wa kigeni mara nyingi huwa na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu, jambo ambalo linaibua kiwango cha ligi kwa ujumla. Hii inavutia mashabiki...
  2. JamiiForums Tanzania Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  3. JamiiForums Tanzania Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  4. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Threads hauna faida yeyote kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta inahaja ya kuufunga

    Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni mtandao wenye faida zaidi ya zile zinazopatikana X Ifuatayo ni mitandao ya kijamii (social...
  5. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  6. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Kusimamia Na Kumiliki Hosteli Za Kupangisha Kwa Faida

    Utangulizi. Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo. Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Faida za kiafya kwa wanawake zitokanazo na kufikishwa kileleni (orgasm)

    Tendo la ndoa linafaida kubwa kiafya kwa mwanaume na mwanamke. Leo nitazungumzia zaidi faida za kiafya anazopata mwanamke pale anapofikishwa kileleni wakati wa tendo. Iko hivi; wakati mwanamke anapofika kileleni, mwili wake huwa unatoa hormones za "dopamine" na "oxytocin" ambazo ndizo humfanya...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge Lisilo Na Faida Kwa Watanzania Lijitafakari

    Tukitaka kuwa wakweli kwa nafsi zetu, Bunge la Tanzania la sasa halina faida wala msaada kwa Watanzania. Nina hakika hata kama lisingekuwepo, hakuna ambacho kingebadilika. Hili ni Bunge ambalo chochote kinachopelekwa Bungeni na Serikali, lazima kitapitishwa kama kilivyo. Namna nyingine, tunaweza...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kukadiria faida ya duka?

    Habari ya leo wanajf! Nina imani mko salama salimini! Ninaomba mnisaidie namna nzuri ya kuijua faida ya kwenye duka! Ninaomba mfikirie pia hali hii kuwa vitu ndani ya duka kila kimoja kina faida tofauti na kingine na huisha dukani tofauti na kingine. Msaada tafadhali
  11. JamiiForums Tanzania Faida za kutoka jasho kwa mazoezi au kazi ngumu

    Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa. Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
  12. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika una faida gani kwa Waafrika?

    Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika. Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama! Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa kama watoto wasio na waangalizi. 1. Vita vya wenyewe kwa wenyewe, mfano ilivyotokea Rwanda na baadaye...
  13. JamiiForums Tanzania Faida ya mvua ya June mikoa ya Pwani

    Mwezi wa Sita Pwani ya mashariki na ya kusini mwa Tanzania lazima mvua inyeshe Kwa ajili ya maua hasa ya mikorosho na maembe pia mvua inasaidia kupunguza baridi ndo maana Jana maeneo ya Dar na Mtwara imeendelea kunyesha.
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ina faida kubwa katika kurahisisha mambo

    Teknolojia: ni fulsa Kwa nchi na watu watakayo itumia vizuri Kwa maendeleo Teknolojia ni kitu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kidunia yetu hii ya Leo teknolojia Kwa matumizi mazuri ni nyezo ya kutupeleka ngazi kubwa za kuturahisishia vitu vigumu kuwa vilaini miaka na miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kuchambua Betting: Faida na Hatari Zilizofichika - Je, Ni Wakati wa Kubadilisha Mkakati?

    Betting imekuwa moja ya shughuli maarufu nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa inaweza kutoa fursa za kiuchumi, ina changamoto zake nyingi. Makala hii itachunguza faida na hasara za betting, kutoa mifano halisi ya maisha, na kutoa mapendekezo ya nini kinachopaswa kufanyika ili...
  16. JamiiForums Tanzania Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

    Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi ) ====== Pia soma: Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje? Ushauri: Nataka...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue faida za kutozini na kutunza sperm

    Vijana wengi wa siku hizi wanaona ni ujanja 'kukojoa' kila sehemu,mtu hawezi kukaa siku mbili bila kutoa manii,iwe kwa kusex au punyeto. Kiafya na kiroho sio salama sana,sasa zifuatazo ni faida utakazopata ukitunza shahawa zako na kujiepusha na zinaa.. 1.Itaongeza kujiamini.. 2.Itaongeza ngu...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Faida gani na Hasara gani zinazohusiana na Magari yanayojiendesha (self-driving cars)?

    Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya: Faida za Magari Yanayojiendesha 1...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli na Ustadi: Jinsi ya kupata faida katika Michezo ya betting kwa uhakika

    Maana ya Betting Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…