faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ucheleweshaji wa malipo ya faida ya uzazi (Maternity Benefits) na NSSF

    Maelezo ya Malalamiko: Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits). Nyaraka zote muhimu ziliwasilishwa kwa wakati, ikiwa ni pamoja na cheti cha daktari na fomu za madai...
  2. JamiiForums Tanzania Faida za kuoa ni nyingi kuliko hasara

    natumai mu wazima wa afya, Nimekuja hapa kuwashauri wale jamaa wa KATAA NDOA FC nadhani watakuwa bado hawajafikia ile situation ya kushindwa kucontrol upweke, unaweza ukawa na kila kitu kwenye maisha yako, lakn kama Hujaoa na hauna mtoto ndani ni sawa na bure tu, Namaanisha utakua unaishi...
  3. JamiiForums Tanzania zifuatazo ni masafa 9 na faida zake zinazohusiana:

    zifuatazo ni masafa 9 na faida zake zinazohusiana: 174 hz - husaidia katika kupunguza maumivu na mafadhaiko 285 hz - hurahisisha uponyaji wa ndani na kusawazisha mwili na akili. (inayohusishwa na chakra ya taji) 396 hz - hutoa hatia na woga, na kukuza hisia ya ukombozi. (inayohusishwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  5. JamiiForums Tanzania Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  8. JamiiForums Tanzania Faida 10 za kumshukuru Mungu

    Tarehe 31 Desemba ni siku ambayo watu wengi hukusanyika makanisani kumshukuru Mungu. Zifuatazo ni faida 10 za kumshukuru Mungu: 1. Huimarisha Imani: Kumshukuru Mungu hutufundisha kutambua uaminifu Wake na kuimarisha imani yetu, tukijua kwamba anafanya kazi kwa manufaa yetu. 2. Hutupa Amani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za Marekani katika dunia yetu

    Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia Mimi nitaanza hapaa 1. Internet kagundua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

    Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda? Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
  11. JamiiForums Tanzania Faida za UMASKINI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Leo ngoja nikupe faida za UMASKINI,. Unaambiwa katika dunia kila kitu kina hasara na faida. Hivyo kabla kufikilia kufanya unashauliwa kuanza kuangalia pande zote mbili yaani (ADVANTAGE na DESADVANTAGE ) kimombo changu changu kinaweza kisiwe sawa ni kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

    Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je hizi ndizo faida za maridhiano?

    Uwepo wa maridhiano umewajibika vipi katika haya? 1. Watu waliotekwa, kuteswa na kuuawa 2. Watu waliopigwa risasi na manyanyaso mengine wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. 3. Hujuma zote zilifanyika kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa. 4. Ukiporwa mali yako...
  15. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mutual Fund za Kenya zinatoa faida 25%?

    Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12% Kulikoni wadau,
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili. Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika...
  18. JamiiForums Tanzania Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

    Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo, Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani? Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo 1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited 2. Unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake.

    Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na usafirishaji wa mizigo. Mashine hizi zimepitia mabadiliko makubwa tangu zianze kutengenezwa, na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwa wote mnaotarajia kusafiri kwa magari yenu kipindi cha December/January ningependa kuwakumbusha jambo la msingi sana hapa, kwa faida na uhai wenu

    Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…