faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Business Partner Kwa Mtaji wa TSh 100M Tunaweza Pata faida ya TSh 300M hadi Tsh 350M kwa Mwezi.

    Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%. Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake. Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
  2. JamiiForums Tanzania Faida ya kupunguza faida katika majiji

    1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania. 2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna wafanyabiashara walikuwa wanashindwa kuwawahi watawawahi. 3. Kodi ya serikali itapanda kwani wafanyabiashara...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faida za kufanya maombi

    Tukiwa katika mazungumzo na rafiki yangu juu ya umuhimu wa kufanya maombi ya mara kwa mara hata kama hakuna tatizo, kwa sababu shetani yuko kazini kila siku kuwatafuta watu haweze kuwadhuru. Rafiki yangu anaeleza siku moja wakati yuko kazini mmoja wa watoto wake ambao anawafundisha alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa mtapata faida gani? Utawala wenu utakubalika zaidi?

    Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea akahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa hili la uhaini wa mchongo mtapata faida gani. Kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Unataka kuanzisha Driving School? Haya ndio mambo ya kuzingatia ili ujenge biashara yenye wateja na faida

    Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
  6. JamiiForums Tanzania FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  7. JamiiForums Tanzania Faida za majani ya amla na Chai ya majani ya amla tu (green tea)

    Ni mara nyingine ya mwaka 2026 tunakutana katika kuendeleza kupeana elimu ya Namna ya kujipatia tiba kwa njia ya asili Leo nitaeleza majani ya mti wa Amla ya tz ni Maarufu sana kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbali mbali yanayo wasumbua watu wengi 1=Watafiti na baadhi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

    Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea... Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini? Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za kufanya matani, au kejeli.. Binafsi na mimi bila kujua nimejikuta ni kiiadapt ili tu watu wafurahi...
  9. JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa faida ya Yanga princes twende na Prisca Kishamba, atavutia wanawake wengi

    Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga. Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

    Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq Jamaa kitu kikubwa kilichomfanya awe adui wa Marekani ni kwasababu alikosa utii na unyenyekevu kwa Marekani , marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa Kwa Mabenki, Voda Yapata faida Mara 5

    My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka iliyoishia Juni 2026, ikiwa ni zaidi ya mara tano ya kiwango kilichoripotiwa mwaka jana. Faida hiyo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali inapata faida gani kuzindua meli za wachina, wachimbaji na kusema za kwetu, Jin hang Vessel

    Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
  14. JamiiForums Tanzania Masoko ya utabiri/betting yamekuwa na faida ya mabilioni ya dola, yemefikia mpaka kutabiri majanga ya asili kama moto wa nyika

    Yanafanyaje kazi? Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye. Mfano: Matokeo ya mechi za mpira Matokeo ya uchaguzi Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki Shida ilipo sasa: Mabadiliko ya Tabianchi Baadhi ya masoko haya sasa yanaruhusu watu kubeti pia kwenye: Moto wa...
  15. JamiiForums Tanzania Faida ya kula Bamia

    Faida za kula bamia: Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari) Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili...
  16. JamiiForums Tanzania Epuka Watu Hawa 5 Leo Kwa Faida Yako

    Leo ni siku nyingine ya mapambano, na unahitaji kila tone la nishati (energy) na utulivu wa akili ili kufanikisha mipango yako. Lakini kumbuka, watu unaoruhusu wasogee karibu yako wanaweza kukupa mzuka wa kupambana au wakakunyonya nguvu zote ukabaki na unyonge kama simu yenye chaji 2%. Kama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Tanga, hatua hii ni kwa faida ya nani?

    Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii? Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

    Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi. Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao. Aya, twende kazi.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jaman naombeni muongozo wa biashara ya ya chipsi Changamoto na faida na mengine Asanteni sana🙏🙏

    Jamani naombeni mwongozo wa biashara ya chipsi Changamoto,faida,hasara na mengine nisiyoyajua Asnteni..🙏🙏
  20. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya shinikizo yana faida gani?

    Swali ambalo Watanzania wengi wanapaswa kujiuliza ni hili: Maridhiano yanayoshinikizwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi yana faida gani ikiwa hayatajibu hoja za msingi kuhusu haki, uhuru wa kisiasa, utawala wa sheria na uaminifu wa mifumo ya uchaguzi? Maridhiano sio lengo lenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…