emmanuel nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi ajitokeza kupiga kura Dodoma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, tarehe 27 Novemba, 2024. PIA SOMA - LGE2024 -...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nchimbi: Ukiongea matusi wanaenda kusimuliana "Yule mwehu wetu ulimsikia leo". Wanakupigia makofi lakini kura wanakunyima

    Wakuu, Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja akimuita mgombea huyo Mwehu na Kichaa! Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nchimbi: Upinzani acheni kugombana mnadharaulika, mtaacha kupigiwa kura mje kusema mmeibiwa

    Wakuu, Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara kwa mara kwamba punguzeni kugombana gombana, watanzania wakiona mnagombana gombana wanawadharau...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61%...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ajiandikisha Dodoma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

    Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa, Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA. Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi...
  7. JamiiForums Tanzania Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Wananchi Wamiminika Katika Mapokezi Mazito ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi na CPA Amos Makala Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CCM ni Baba lao, ni tumaini la watanzania,ni nuru ya wanyonge,ni nyota ya matumaini.Hiki chama ndio kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio kimeshikilia furaha ya mioyo ya mamilioni ya watanzania.ndio chama kiletacho tabasamu katika nyuso za watu...
  9. JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi ana akili na anajua Siasa. Sidhani kama atadumu kwa hiyo nafasi aliyo nayo

    Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine. Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
  10. JamiiForums Tanzania Angezungumza kama alivyozungumza Emmanuel Nchimbi angepungukiwa nini?

    Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo. Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea. Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  12. JamiiForums Tanzania The Truth: Dkt. Nchimbi ni kiongozi mwenye maono na anajua demokrasia

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi, ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anajulikana kwa kuwa kiongozi mwenye maono (visionary leader) na anayejali misingi ya demokrasia. Kumsifia kama kiongozi mwenye maono ina maana kuwa ana uwezo wa kutazama mbele, kuweka mikakati ya muda mrefu, na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

    Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
  16. JamiiForums Tanzania Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke. Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  18. JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Nimeiona kwny JF twitter: ========= UPDATES: Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo: 1. Sophia Simba 2. Ramadhan Madabida 3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa 4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na 5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga ===== KWA UFUPI: Machi 11, 2017 - Dodoma Habari kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…