eatv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongereni sana EATV kwa kuanzisha kipindi bora kabisa cha mjadala wa wazi

    Kimeanzishwa kipindi kipya Cha mjadala katika Televisheni ya EATV, ambacho Kwa mara ya kwanza kilirushwa Jana Jumanne, tarehe 10/02/2023 chenye mada iitwayo Je Siasa safi zinawezekana nchini Tanzania? Wageni waalikwa katika kipindi hicho walikuwa, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema, John Heche na...
  2. Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  3. K

    Hongereni EATV kummalizana na Diamond

    Nimeona Leo nyimbo 2 za Diamond Platnumz zikichezwa
  4. Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

    BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
  5. Ferooz: ''Sisi ni maarufu OG sio wa IG"

    BURUDANI 'Sisi ni maarufu OG sio wa IG" - Ferooz Hapo jana Hitmaker wa ngoma ya starehe Ferooz akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV amewachana wasanii wa sasa wasiosapoti kazi za wakongwe kwa kusema wao ndio wana umaarufu wa ukweli kuliko wasanii ambao wanaupata Instagram...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…