Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...