Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda.
Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...