dna

  1. N

    JUST A REMINDER: Mwanaume hapimi mtoto wake DNA. Hizo tabia waachieni Wavulana wa 2000s. Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwanaume mzima ana miaka 41 au 43 eti anaenda kwa mkemia mkuu wa serikali au Polisi kuomba kupima DNA ya mtoto. Seriously?? Huyo unayemuita baba unajuaje kama ni baba yako mzazi?? Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Mkeo amekupa mtoto Mwambie "Asante Sana mke wangu" Na...
  2. N

    Kwa Tanzania wapi napata DNA test na bei gani?

    Kwa Tz Wapi napata DNA test na bei.
  3. Ujinga zingine ziko kwa DNA 😄 🤣 😂 😆 ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA 😄 🤣 😂 😆 NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣
  4. Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  5. O

    SI KWELI Je, Rais Ruto Alisema Vipimo Vya Dna Vitakuwa Lazima Kenya?

    Picha kutoka ukurasa wa Kenya News Flash imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais William Ruto ametangaza kuwa vipimo vya DNA vya kubaini baba wa mtoto vitakuwa vya lazima nchini Kenya. Graphic hiyo, yenye tarehe Oktoba 6, 2026, inamnukuu Ruto akidai kuwa serikali...
  6. Tumejifunza na tumejifahamu DNA yetu ni ya popo

    Ndugu zangu biblia katika 1samweli 9:9 na kuendelea mungu anajipambanua kwamba yeye ni mungu na kamwe Huwa hatembei njia moja na mtu muoga ! Ndio maana mungu alitaka kumuua mfalme hezekia kwa kosa la uoga maana alimuogopa sanekarebu ! Mungu alimchukia sauli kwa kumuogopa Goliath! Mungu Yuko...
  7. Vipimo vya DNA vyazua mjadala nchini Malawi.

    Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima. Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...
  8. NIGERIA: Katika wazazi 4 wanaopima DNA basi mmoja kapigwa, Yani analea goli la kidume mwezake

    Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo...
  9. Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  10. Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

    Mitandao ya kijamii imesheheni madai yanayodai kuwa nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, amefungua talaka dhidi ya mke wake Shireen baada ya kile kinachodaiwa kuwa matokeo ya kipimo cha DNA. Hata hivyo, Sasa hakuna ushahidi au taarifa kutoka kwa vyombo vya habari...
  11. Balaam: 95% of DNA Tests found Men were not Biological Fathers

    Former Minister of State for Gender, Labour and Social Development in charge of Children and Youths Affairs, Balaam Barugahara has claimed that 95.2% of paternity DNA tests conducted through petitions during his tenure showed that the men involved were not the biological fathers of the children...
  12. Happening now: Police to Release Kafeero DNA Paternity Results Today

    DNA results for individuals claiming to be children of the late Kadongo Kamu star Paul Job Kafeero are set to be released by the Police Forensic Directorate at Police Headquarters in Naguru. The process is being overseen by Minister of Local Government Balaam Barugahara, Director of Forensics...
  13. Late Kadongo Kamu Star Paul Kafeero’s DNA Results to Be Released Next Week

    The public will soon be informed about the results of DNA tests conducted on the remains of legendary Kadongo Kamu musician Prince Paul Job Kafeero, following a long-running paternity dispute involving people claiming to be his children. Former State Minister for Youth and Children Affairs...
  14. DNA inaonesha hawa mapacha wana baba tofauti, inawezekanaje?

    Dr Seran na dr dosho12 what happened here?
  15. DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

    Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) . Huyu si mwingine ni Nickson Simon Mkuu wa wilaya wa kibaha, alimpenda Sana huyu binti mpaka akafikia hatua ya kuingilia majukumu...
  16. Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  17. Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  18. Bei ya DNA Tanzania yaongezeka kwa asilimia 112, siyo Laki tena ni 212,000

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko amesema Gharama za kufanya vipimo vya Vinasaba vya Binadamu “Human DNA” zimeongezeka kutoka Laki moja kwa sampuli moja hadi kufikia Laki mbili na kumi na mbili kwa sampuli moja kutokana na Gharama za mchakato wa vipimo hivyo. “Gharama kwa...
  19. M

    Hapa nchini kama kila wanandoa wakifanya Dna test 70% ya wanaume wanalea watoto ambao sio wa kwao.

    Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…