dkt. samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  2. Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  3. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  4. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

  5. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  6. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANGโ€™ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  7. MAONO YA DKT. SAMIA KUKUZA UCHUMI AFRIKA

    Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
  8. Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  9. Dkt. Samia ahimiza usimamizi wa rasilimali za umma katika mkutano wa IPU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi. Rais...
  10. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  11. Dkt. Samia: Serikali itaendelea kushirikiana na Taasisi za dini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na kijamii kwa ajili ya ustawi wa Watanzania. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo (Jumapili, Oktoba 4, 2026)...
  12. Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  13. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ

  14. Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    โ– Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani โ– Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  15. UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  16. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  17. Y

    Shaka Hamdu Shaka: Dkt. Samia na Ndejembi turufu mpya ya maendeleo kwa watanzania

    Na Cde Shaka Hamdu Shaka Jumatano, Agosti 26, 2026 ilikuwa siku ya kihistoria. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya maamuzi magumu yenye kubeba maslahi mapana ya Taifa letu. Maamuzi hayo yakapata baraka na kukamilika Jumamosi, Agosti 29, 2026 - siku ambayo vizazi vijavyo vitaisoma kwenye...
  18. Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  19. Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  20. Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Zanzibar, Julai 2, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Zanzibar Jumatano tarehe 29 Julai, 2026.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ