Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, iliyofanyika leo, tarehe 21 Novemba 2026, wilayani Kibaha, mkoani Pwani.
Katika ziara hiyo, Mhe. Mmuya ameungana na Waziri...