dira

Deficiency of the interleukin-1–receptor antagonist (DIRA) is an autosomal recessive, genetic autoinflammatory syndrome resulting from mutations in IL1RN, the gene encoding the interleukin 1 receptor antagonist. The mutations result in an abnormal protein that is not secreted, exposing the cells to unopposed interleukin 1 activity. This results in sterile multifocal osteomyelitis, periostitis (inflammation of the membrane surrounding the bones), and pustulosis due to skin inflammation from birth.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mkuu aitaka sekta ya uchukuzi iwianishe mipango yake na Dira 2050

    Asema mikakati ya maendeleo ya sekta iwe na matokeo yanayopimika WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameitaka Wizara ya Uchukuzi, Wizara ya Ujenzi na taasisi zake kuhakikisha tathmini, mipango na uwekezaji katika sekta ya hiyo vinaendana na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...
  2. V

    Dira kwa waliokata tamaa ishu za dini hasa ukristo

    Shikamooni,.. Nafikiri njia rahisi ya kudumu kanisani au kwa mchungaji husika iwe ni UWEZO WA HUYO MCHUNGAJI AU KANISA HILO KUKUFANYA UISHI KWA USTADI BILA KUTEGEMEA KUOMBEWA AU KUWEKEWA MIKONO. Kwaufupi Mahali qanapojikita kukufundisha kwa maneno na vitendo (UNAONA na wao wameweza wanayosema)...
  3. Q

    1995 Kolimba; CCM imepoteza dira, 2026 Nchimbi; Tupambane tupate katiba mpya.

    CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo, msipomsikiliza Nchimbi mnaenda kupotea mazima. 1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla hajatoa maelezo yake mbele ya kikao hicho, akafariki ghafla kwa tatizo la kupumua. 2015...
  4. Wadau wa Sekta ya Tumbaku waichambua Dira wa Dira ya Taifa 2050 na Mpango Kabambe wa Kilimo 2050

    Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050). Kikao hicho kimewakutanisha...
  5. Deus Sangu ashiriki Mkutano wa Ahmadiyya, asema “Amani na uvumilivu ni msingi mkuu wa utekelezaji wa Dira ya 2050”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini. Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
  6. Jumanne Sagini awafunda viongozi na watendaji Dira 2050 Mkoa wa Songwe

    Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano utumiwe ipasavyo kufikisha ujumbe kwa viongozi na wananchi. Hayo yameelezwa na Jumanne Abdallah...
  7. Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
  8. Wiki ya Ubunifu yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) imezinduliwa rasmi, ikiashiria mwanzo wa uhamasishaji wa kitaifa wa wavumbuzi, wajasiriamali, watunga sera, wawekezaji, watafiti, washirika wa maendeleo, watendaji wa sekta binafsi na wadau wengine siku chache kablaya jukwaa kuu la uvumbuzi nchini...
  9. K

    Bila Chadema ni maigizo tu na bila katiba hakuna Dira!

    Bila Chadema chama kikuu kwa mbali sana Tanzania hakuna maridhiano yeyote ya ukweli ni maigizo tu ya kujidanganya na kulaghai watanzania. Bila katiba hakuna Dira! yeyote inaweza kufanikiwa kwa katiba ya sasa ambayo haina uwajibikaji wowote pale ambapo sheria haifuatwi na watawala. Katiba...
  10. Mojawapo ya misingi ya dira 2050 ni demokrasia, haki na uhuru. Kwa namna hii tutafika?

    Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT. Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
  11. K

    Ni mjinga tu anayefikiri kuna Dira nzuri ya 2050 kwa mfumo huu wa siasa (Katiba hii)

    Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
  12. Rais Dkt. Samia anazindua Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 | Ikulu Dar | 03 Agosti, 2026

    https://www.youtube.com/live/Motr1Qogzvc?si=0zWibpltOzbHFz0w
  13. Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) yanadi DIRA 2050 katika Mkutano wa Viwanda wa SADC Durban

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza maendeleo ya nchi wanachama...
  14. TIB Yanadi dira 2050 mkutano wa viwanda wa SADC Durban

    Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza...
  15. Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
  16. Dira 2050 hiyoo

    hapo vipi?
  17. N

    Wakuu mliofanikiwa tupeni dira madogo zenu

    Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu tunaomba mtupe mawaidha madogo zenu nini tufanye na nini tuache ili tufikie na sisi level zenu, maana...
  18. Dira 2050: Ushirikiano na Urusi

    Dira ya Maendeleo 2050 inahitaji rasilimali, teknolojia na ushirikiano wa kimataifa wa hali ya juu. Urusi ina uwezo wa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha Dira hii. Ziara ya Rais Samia inalenga kuhakikisha ushirikiano huu unabeba matokeo ya kweli yanayofika kwa Watanzania wote...
  19. D

    Wateja wakumbushwa usomaji dira za maji shirikishi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma. Zoezi la usomaji mita...
  20. Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…