diamond

  1. Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

    Habari wadau, Kupitia Instagram yake ameandika haya:- “Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost. Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
  2. H

    Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  3. K

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
  4. Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

    Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU...
  5. Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  6. Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

    Wasalaam Wana jamvi. Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond. Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond kumlipia ada za watoto wake wawili wanao soma TUSIME SEC. Baba Levo anasema anatamani Mungu amchukue hata...
  7. Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  8. Maswali ya Kujiuliza Juu ya Kauli ya Mama Diamond juu ya Baba Diamond

    1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni kweli ALIIKATAA, maana yake ni kwamba, basi mama Diamond alitaka kumpa hiyo mimba. Kwanini alitaka...
  9. kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  10. "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
  11. Ishu ya baba wa msanii Diamond gazeti la ijumaa lililipoti 2012

    ojs entertainments We do Post entertainment newz in this blog, your welcome JUL 16 BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata...
  12. Diamond anakosea sana...

    Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul.. Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu.. Diamond alipaswa sasa...
  13. Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  14. A

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  15. Gazeti la Congo laongelea uhusiano wa Diamond na baba

  16. Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
  17. Hatimaye Millard Ayo aanza kuweka taarifa kuhusu Diamond kwenye kurasa zake

    Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond, Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb Matokeo yake ni channels...
  18. Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

    DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa baadhi ya watu. Hivyo ikiwa wewe unajijua sio mvumilivu wa lugha ngumu, maneno makali basi nakusihi ishia...
  19. H

    Harmonize amshukuru Diamond

    Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...
  20. Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…