dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku...
  2. Dhambi kitu kibaya sana! Adhabu ya kwanza ni kukutoa ulipo na kukuvua nguo!

    Mara tu ukishatenda dhambi yoyote! "You will never be same"! Inakutoa hapo ulipo na kukuvua ngua na kuwa uchi. Mwanzo 3:1-24! Mara tu Adamu alipotenda dhambi, alitolewa na kutupwa nje ya bustani ya Eden na kuvuliwa nguo! Hakuna cha kusubiri! Hata wao akina Adam na Awa walishangaa saana...
  3. Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Wakuu heshima yenu. Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani. Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba. Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu.. Mwanzo...
  4. Kuungama dhambi mbele ya Padre, unaripotiwa polisi?

    Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version) Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
  5. Je, kuna dhambi gani mpya chini ya jua?

    NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu? Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
  6. Je, ni dhambi au si dhambi,kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo?

    JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo. yaani kusuka nywele za mkono au mawigi kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
  7. Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?

    Mathayo 5: 28 Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. MY TAKE: Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
  8. J

    Dhambi ni Nini

    Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya lililo sawa ingawa mtu anajua...
  9. K

    Kupata Mali Sio Dhambi .

    Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo nzuri kama ikitolewa kwa Mungu na kutumia na kuendesha kazi yake .Biblia haimlaumu uwezo wa ubongo...
  10. LGE2024 Kutopiga kura ni dhambi mbele za Mungu, dhambi ya kutotimiza wajibu!

    Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa. Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla. Kutoshiriki inaweza kupelekea kukosa sauti katika mambo yanayohusiana na maisha yetu. katika mitazamo mingi ya kidini, mamlaka...
  11. Dhambi ya handshake haitwaacha salama Kenya

    Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga Wala handshake yoyote Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika tena Na ukafanyika Hii mitafaruku hata aje raila dp hawatokaaa salama arudi makanisan walkiopitia...
  12. Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  13. D

    Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  14. PreGE2025 Askofu Musomba: Uchawa ni dhambi ya Jamii, anapokosea aambiwe ukweli sio kumsifia tu

    Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine. Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  15. Mjadala usiwe mrefu: Pombe siyo dhambi Wala haijawahi kukatazwa mahala popote Kwenye biblia Takatifu

    Ukiacha ushabiki na kufuata yale wasemao viongozi wetu wa dini Kwa sababu wanajua tukinywa pombe Kwa namna Moja ama nyingine watakoswa sadaka. Hii imekuwa ndo mbinu Yao kubwa ya kuwa hadaa wale wasio jua maandiko vizuri. Kwa wachache tulio amua kuyachunguza maandiko Kwa undani wake tukaona ni...
  16. Tunakoelekea kuoga na Sabuni Pia tutaambiwa ni dhambi

    Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema.... "Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira...
  17. Watanzania ogopeni dhambi za sirini

    Luka 12:2 Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. Mnadhulumu haki za watu, mnauwa kwa ujambazi, kwa visirani, ugomvi wa kisiasa na sababu mbalimbali. Jueni hakika kwamba, yupo Mungu aonaye sirini, mnafanya mkiwa mmejificha, mnafikiri...
  18. Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

    Chukua hiyo! Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha. Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa. Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa...
  19. U

    Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  20. Afichaye dhambi zake hatofanikiwa

    3 Yoh 1..2 N mapenzi ya Mungu ufanikiwe, Lakini sio ktk dhambi. Kama unataka kufanikiwa tubu omba rehema Acha dhambi za sirini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…