Mchekeshaji huyo maarufu alikamatwa Februari 21, 2023 nje ya maeneo ya Bunge akiwa na kundi la waandamanaji waliokuwa na mabango yenye jumbe za kuionesha Serikali kuwa Wananchi wana hali ngumu ya maisha.
Omondi na waandamanaji wengine 17 wameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kinyume cha Sheria...