dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benki Kuu ya Tanzania kukusanya Dhahabu za Dola Bilioni 2, wajiona wamefanikiwa sana; Russia wamekusanya Dola Bilioni 402 lakini hawajauza – Tafakari

    Russian gold reserves break record The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
  2. H

    Hofu ya kuwekewa vikwazo vya kuuza Dhahabu nje, vyasababisha wauze Dhahabu haraka

    Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia. Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na...
  3. Z

    Viongozi fisi! Walitangaza kuuza Meno ya Tembo na pembe za Faru. Sasa wametangaza kuuza dhahabu

    Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya. Wanatangaza kuuza dhahabu. Yaonekana wanaojiita ni viongozi ni kama fisi vile, hata akichomwa mkuki...
  4. K

    Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ?

    Pesa za dhahabu zitakwisha kesho tu! Je watauza nini ? Mradi wa gas ambao una nukia ufisadi mkubwa ndiyo sehemu pekee ambayo bado haijauzwa kwasababu wamiliki wa EU na USA wamegoma kutoa rushwa. Hawataki kutoa 10% maana kisheria kwa hawa hasa USA ukitoa rushwa kama kampuni unapigwa fine kubwa...
  5. K

    Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari

    Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi. Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%. Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo...
  6. Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  7. Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania. Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
  8. M

    Siku nilioyomuona mama anauza dhahabu zake ilikuwa ni kunusuru nyumba isiuzwe, baada ya miezi 6 walirudi, hakukuwa na cha kuwapooza nyumba ikauzwa

    Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita. Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
  9. Sakata la dhahabu kwa lugha inayoeleweka!

    Tusijumbue kwa maneno mengi!
  10. Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  11. La HAZINA ya Dhahabu, limethibitisha TRA ya Samia ,ni wahuni,Makanjanja , wasiokua wabunifu, Wanaopikaga Data kumdanganya Samia waonekane wanakusanya!

    Tukishaikomboa hii NCHI, hawa TRA NAO tutawafumua , tutawashikisha Adabu. Wanaiba, wanajilimbikiza Maliz alafu wanakuja kupika Data, Kila Mwezi wanaonekana Makusanyo yamepanda. Kumbe ni uongooo mtupu , HAINGII AKILINI , MIEZI MIWILI TU YA RAFIKI ZETU WAULAYA NANMAREKAN KUSITISHA MISAADA , ET...
  12. Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  13. Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali. Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro...
  14. CHADEMA na Wanaharakati wajipange na wawe makini na taarifa za kuuzwa kwa hazina ya dhahabu

    Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
  15. T

    Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  16. Maswali fikirishi juu ya uuzwaji wa dhahabu yetu

    Je dalali ni nani? Je atawekwa wazi? Atakula bei gani? Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani? Nani katoa connection? Atakula bei gani? Je itauzwa kwa bei ya soko? Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo? Hili ni dili la...
  17. Haya ni madhala ya kuua raia umekosa misaada waanza kuuza dhahabu za wajukuu wetu,SI UFUNGE MKANDA,WAZIRI KAPELEKA UJUMBE GANI KWA BEBERU LA VATICANI?

    Migodi mingi imebakiza mashimo uwezi kuamini Dhahabu ya Akiba inauzwa kwa Ajili ya miradi ya Maendeleo Je UMESHINDWA KUFUNGUA MKANDA kwa kupunguza matumizi ya serikarini?!
  18. Nilisema wapinzani hawa wa kudandia kila jambo hawataingia Ikulu mpaka Yesu atarudi. Washahamishia majeshi kwenye dhahabu

    Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu. Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu. . Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani. .Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi. .Hawajui kuwa...
  19. Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

  20. Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…