dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mashine za kutengeneza madini ya dhahabu na makaa ya mawe.

    Watafiti wamefanya kazi sasa hakuna haja ya kumsubiria mungu akuletee madini ya dhahabu na makaa ya mawe sasa yanaweza kutengenezwa kwa ajili ya vizazi vijavyo... Kwa kuwa yanaisha kama chokaa sasa hayata isha
  2. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi utakaowezesha Kuongeza miamba ya Dhahabu ili nchi iweze kunufaika zaidi na Madini?

    ๐—๐—˜, ๐— ๐—”๐—จ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—›๐—”๐—›๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? ๐˜‹๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ๐˜ช๐˜ป๐˜ข ๐˜œ๐˜š๐˜‹ 5.67 ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช 12 ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช ๐˜‘๐˜ถ๐˜ญ๐˜ข๐˜ช 2026. ๐˜•๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฃ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ป๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ท๐˜ช๐˜ค๐˜ฉ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ท๐˜บ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช. ๐˜“๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช ๐˜ด๐˜ช๐˜ต๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ, ๐˜ฃ๐˜ฆ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช 27%. ๐˜œ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ธ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ข...
  3. K

    Inzi kwenye jalala la dhahabu: Majaribio ya chawa mkuu inchi ya ugagagigikoko

    SEHEMU YA KWANZA: VIOO VYA ENZI NA AMNESIA YA KIFALME Ukumbi mkuu wa ikulu ya nchi ya Ugagagigikoko ulijengwa kwa usanifu uliogharimu nusu ya pato la taifa. Kuta zake zote zilikuwa vioo vikubwa vilivyowekwa kwa pembe maalum ili Malkia Huihui aweze kujiona kutoka kila upande bila kulazimika...
  4. Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

    Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga
  5. Q

    PostGE2025 Marekani: Polisi yaruhusu maandamano ya waTanzanians tarehe 23 Oktoba 2026 in Washington kukumbuka mauaji ya Oktoba 29

    An event titled โ€œEast Africa Diaspora Protestโ€ is advertised on Eventbrite by the East Africa Diaspora Movement. According to the announcement: Date: Friday, 23 October 2026. Time: 9:00 a.m. to 1:00 p.m. Location: US Department of State, 2201 C Street NW, Washington, DC. Purpose: To advocate...
  6. Je unatamani kujua nini ufanye ili uweze kuuza dhahabu yako nje ya nchi? Mfano, soko la Dubai na nyaraka gani unatakiwa uwe nazo?

    Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama za usafirishaji na ulinzi (Logistics & Insurance). Ili kusafirisha na kuuza dhahabu kwa njia za...
  7. K

    Uchambuzi wa wimbo "Dje Melasi" (T.P. OK Jazz): Shule ya Rumba, Utunzi wa Mose Fanfan na Sauti za Dhahabu za Youlou Mabiala

    Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)! Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
  8. E

    TANZIA Buriani Carlyto Lassa: Sauti ya Dhahabu ya Rumba Iliyoishia Madhabahuni

    Tasnia ya muziki barani Afrika, hususan wapenzi wa Rumba ya Kongo na muziki wa Injili, imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha nguli Charles Ndombasi Lassa, anayefahamika zaidi kama Carlyto Lassa. Mwimbaji huyu mwenye sauti nyororo kama asali, mtunzi, mpiga gitaa, na mchungaji, amefariki dunia...
  9. Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

    "Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
  10. Ni kweli kuwa Moro wamegundua machimbo ya dhahabu?

  11. Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

  12. Dhahabu yafumuka Dar, Vijana wahini maduara.. Katoro msije

    Unahama Dar Uwende wapi? Dhahabu imetufuata yenyewe... Uzuri tuna nyenzo za kisasa. Hakuna kutumia Mundu ukija Chanika
  13. Kwa mtu yeyote anayehitaji kushirikiana katika uchimbaji wa dhahabu

    Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji. Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na...
  14. Nimekumbukwa, kieneo changu cha Makunganya huko Morogoro nasikia imegunduliwa dhahabu, watu wamekivamia. Walahi tutatoana macho

    Hamjambo wote! Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya. Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu. Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
  15. Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  16. Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani๐Ÿ˜
  17. M

    Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  18. M

    Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  19. Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Wakuu salaam, Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita. Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ