deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

    Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
  2. Ahadi ni deni; Serikali inashindwa kupata kodi halali kwenye mauzo na inaamua kuchukua njia rahisi ya kuwakamua walipa kodi

    Rais SSH ulisema suala la tozo linafanyiwa kazi na muda si mrefu litatolewa uamuzi. Kitu cha kushangaza uamuzi baada ya kufanyika wewe umejificha Ikulu anamtuma waziri wa fedha kuja kulitolea ufafanuzi. Rais SSH hii ni dharau ambayo sisi Watanzania hatukutegemea kutoka kwako baada ya kutoa ahadi...
  3. M

    Umeshakutana na mtu unayemdai anakuambia sina hela ukitaka niue

    Mzuka wanajamvi Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla. Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote. Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
  4. M

    Deni la mkopo la HESLB kwangu halipungui nikangalia mtandaoni licha kukatwa na kuoneshwa zimelipwa

    Nilitunza kumbukumbu za deni la mkopo wa wanafunzi elimu juu HESLB lililobaki hadi mwezi Juni 2021 la mtandaoni ili nije nilinganishe na la mwezi unaofuata nione kama linapungua nimebaini halipungui sijui shida iko wapi? Hali ikoje kwako mkuu, mbona sasa nashindwa kuamini hata taarifa za...
  5. N

    Salary slip ya Julai, 2021: Hakuna Tzs 2,500, deni la HESLB halijapungua

    Ndo hivyo, inaonekana sasa! Niliaminishwa nitakuta deni la HESLB limepungua kutokana na kutolewa ile nyongeza kama alivyoamrisha Mh. Rais; HAKUNA BADILIKO! Nilisikia kuna kanyongeza ka 2500 ka kupatia mo energy za jero tano kwa ajili ya kuinjoi na familia kila mwisho wa mwezi; HAKUNA KITU. Dah!
  6. Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

    Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri. Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
  7. Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

    Habari za leo leo washikadau, Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90. Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
  8. Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima. Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka...
  9. Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  10. Wakati 'wakijimwambafai' Kumsajili Djuma kwa Bilioni 1, Nahodha wa Yanga SC Beki Lamine Moro achoshwa na Deni na Kutolipwa Mshahara

    Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia...
  11. Sources of Tanzanian external debts

    Ni aibu Sana kuona Tanzania inakopa Deni kwa nchi maskini kama Angola. Iran na Iraq nazo ilowakopa mabomu ama Nini🤣😂😂🤣
  12. USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  13. HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  14. L

    Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

    Safari ni ndefu kutoka 10.8 milioni hadi 1.5 milioni miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu. Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani? Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja. Mungu mkubwa.
  15. J

    Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  16. J

    Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  17. Dkt. John Magufuli amekufa na deni letu, Rais Samia tunaomba suluhu yako

    Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania. Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za ualimu. Kati ya hizo ni ajira 8000 tu zimetolewa katika awamu ya kwanza nazo zilitolewa angali bado...
  18. J

    Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  19. Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
  20. Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…