Habar wana jf.
Bwana katika harakati zangu niliweza kukutana na wasichana wawili " Eliza na Grace" sio majina halisi, macho yangu yalitokea kuvutiwa sana na uzuri wa Eliza japo wote ni wazuri haswaa!, tulianza kuwa kama marafiki, it means mimi Eliza & grace, tulizoeana kwa kipindi cha miezi...