Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl, watoto wetu wa kike yaani ni tafrani.
Siku akaja kiongozi mkuu wa nchi akatoa oder ama...