daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Nahama kutoka wizarani kwenda Mamlaka, je nitapanda daraja kama kawaidi?

    Wakuu, ningependa kujua kuwa hivi sasa niko wizarani kwenye TGS ila tayari nina barua ya kuhamia Mamlaka ambayo ina scale yake ya mshahara na mwakani natimiza sifa za kupanda daraja, je nitapanda kama kawaida au naanza upya?
  2. L

    Opera ya Wu ya China yajenga daraja la kitamaduni nchini Zimbabwe

    Wasanii wa Opera ya Wu, wakiwa wamevalia mavazi ya kuvutia na ya rangi angavu, walihuisha mila za kale za opera ya China mjini Harare, nchini Zimbabwe. Waliwavutia watazamaji kwa ishara, sauti za kuvutia, na kungfu. Onyesho hilo lilihusisha kazi maridadi za asili za Opera ya Wu, zikiwemo "Mungu...
  3. O

    Hali ya Hatari Migori: Miundombinu Yaanza Kusambaratika, Hali ya Daraja Yatia Hofu!

    Mvua kubwa zinazotarajiwa au athari za msimu zimeanza kuleta maumivu makubwa katika miundombinu nchini, haswa huko Migori ambapo daraja kuu la eneo hilo liko katika hali ya hatari kubwa. Sehemu kubwa za deki ya zege zimezidi kubomoka, kusambaratika na kumomonyolewa kutokana na uchakavu mkubwa...
  4. Hawa Mashetani wanashuka Daraja huu Msimu!

    Ngumu kubabali, ila huu mwaka wanashuka.
  5. C

    Ubovu wa madaraja mbugani Nyamagana

    ubovu wa madaraja mbugani unazuia shughuli ya maendeleo ya kijamii pia kunahatarisha jamii tunaomba serikali ishugulikie changamoto hii
  6. M

    DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  7. M

    Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  8. Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  9. Ameacha ufundi electronics yeye anaenda kusomea udereva daraja c

    Hatumzuii au hatumpingi mtu ila tunampa tu ushauri yeye ataamua aubebe au autupe Kuna mdogo wangu alitoka kijijini juzi kamaliza form4 mwaka jana. Sasa alikuja kama na laki 3.5 hivi lrngo akasomee udereva. Ila kwa upendo tu nikaona nimpe ushauri wa kuchagua. Nikamshauri kuhusu ufundi wa...
  10. A

    KERO Mradi wa Daraja la Mto Sanga lililopo Meatu Shinyanga umekamilika ila Wafanyakazi tunadai mishahara tangu Aprili 2025

    Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa stahiki zetu baada ya kumaliza kazi ya ujenzi wa daraja hilo. Tulifanya kazi kwa uaminifu tangu mwezi...
  11. RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  12. A

    KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  13. V

    Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
  14. Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

    Mdau, ni daraja unadhani linaweza kuwa imara zaidi na kwanini?
  15. A

    KERO Waziri Shemdoe alisema Mfumo wa PEPMIS usiwe kikwazo cha kutopanda daraja Watumishi, Wilaya ya Chemba tunateseka

    Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa. Tuliposubiri kupata majibu, baadhi yetu tuliwasiliana na Maafisa Utumishi...
  16. MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

    Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa. Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up. Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo; 1.UTI...
  17. M

    Tungeweka progressive score 00% au total score 20% October 29,2025 nani angepanda daraja la urais? Mwalimu mmoja amehoji

    Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani, Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki, Ombeni time sasa ichunguze kwa nn...
  18. Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  19. Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

    Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu. Japo lolote...
  20. A

    KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…