content

Free content, libre content, or free information is any kind of functional work, work of art, or other creative content that meets the definition of a free cultural work.

View More On Wikipedia.org
  1. TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

    UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena...
  2. R

    Content creators, wasanii, wanamuziki na comedians wanakwenda kuathirika kiuchumi kutokana na hashtag ya NO REFORM NO ELECTION

    Baada yakufungwa mitandao ya X na Club house zipo movement zinaendelea katika mtandao wa instagram ambazo zinaathiri akaunti za makundi mbalimbali ya watumiaji mtandao huo. Baadhi ya athari ni hizi zifuatazo 1. Kila mtu atakayetaka kupata update za serikali kwenye instagram za wizara...
  3. TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator

    TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator Location: Mwenge,Dar es salaam Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi) Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...
  4. Mbinu hii itakupa viewers wengi kwenye content yako. Pesa ipo mtandaoni vijana.

    Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja. Nina account Instagram ila hata...
  5. B

    Kuwa makini na camera za kukodi kwa sababu siku hizi kila mtu kawa content creator

    Kwenye events zako bora utumie smart phone kuliko camera ya kukodi kwa Sababu siku hizi kila mtu kawa content creator. Unamualika mtu wa camera aje achukue matukio kwenye harusi yako kumbe mwenzako yupo busy kutafuta content. Atachukua matukio halafu wakati wa editing anaangalia vituko au Nani...
  6. Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  7. Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  8. Jinsi content creator walivyoniharibia simu yangu.

    Ilikuwa hivi. Niliingia instagram jamaa akasema zima vitu vifuatavyo kwenye simu yako kuimarisha ulinzi wa taarifa zako. Ingiza settings Zima Google password manager Nikazima. Nikaenda settings nikazima payment method Nikaenda privacy and policy Access payments method ni kazima. Baadae...
  9. Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  10. Hadi sasa sijaona online outlet hapa TZ ilio bora katika uandaaji wa content na habari hadimu zaidi hawa wanaitwa "The Chanzo". Tunasubiria TV chanel.

    https://youtu.be/oOR7rZHenKg?si=3XnIsvujJ8Er5PQp
  11. TikTok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  12. Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  13. Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  14. UTAJIRI WA KUTENGENEZA CONTENT KWA BIASHARA ZA ONLINE

    Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo! Kwa Nini Content ni Muhimu? Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu bidhaa zako, wanajenga uaminifu kwa biashara yako. Inaongeza Engagement – Watu wanapenda maudhui ya...
  15. Anahitajika social media and content manager wa kike

    =========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa software. Ataanza majukumu hayo remotely (kufanyia kazi popote alipo)...
  16. Je, unahitaji content kwa ajili ya blog, website, au social media posts? Tuko hapa kukusaidia!

    Unahitaji content(maudhui) inayovutia, yenye uhalisia, na inayobadilisha wasomaji kuwa wateja? Iwe kwa ajili ya blog/ website yako, product descriptions, email marketing, business documents, video scripts, au social media posts! Tuna uzoefu wa kuandika makala, blog posts, SEO content, na hata...
  17. Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

    Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi inavyotengenezwa mpaka kuwa tayari kwa matumizi. Pia kunywa pombe yenyewe na kutoa mtazamo juu ya...
  18. Fahamu jinsi Content Creators wanavyojiingizia kipato

    Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili. Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube) Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization. A. Kulipwa na platform husika...
  19. STORM: Stanford's AI Revolution in Research and Content Creation

    STORM: Stanford's AI Revolution in Research and Content Creation In today's world, where information is abundant but often fragmented and overwhelming, the need for efficient and reliable research tools is paramount. Are you struggling to extract reliable data from the sea of online...
  20. M

    HII PICHA NA CONTENT ZA LISSU ZINAMAANA GANI ?

    Wadau muda mdogo mambo mengi Picha imekataa, kuhusu kuunga mkono mazungumzo ya chadema na bi Samia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…