chupa

Chupá is a corregimiento in Macaracas District, Los Santos Province, Panama with a population of 520 as of 2010. Its population as of 1990 was 637; its population as of 2000 was 564.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    HOJA Wanaoweka chupa katika ukuta mfupi ni hatari kwa Watu, hata kama hakuna Sheria hii si sawa

    Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
  2. Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
  3. Wenye Baa tafadhalini Pandisheni Bei ya Chupa za Maji!

    Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji! Mtu hawezi kukalia meza masaa matatu kwa matumizi ya shilingi elfu moja au elfu mbili huku wateja...
  4. Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  5. Siri ya Chupa ya golikipa wa Uingereza yafichuka, ilikuwa na mbinu za kuzuia penalti za wachezaji wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 . Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
  6. J

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida kushika mimba, huwa kuna uwezekano wa kuyatoa mayai yake kutoka kwenye uzazi na kuyaweka kwenye kifaa...
  7. Ninapokuwa na Mawazo, chupa ya maji inageuka bia

    Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
  8. Usiwe mchoyo bwana, ebu muite MOD yoyote umnunulie hata chupa tatu mmalizie wikiendi pamoja😆

    Bwana muheshimia mod wa JF almaarufu kama 255Fixer niko hapa velvet nusu kreti ni yako mkuu
  9. Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  10. Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

    Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii...
  11. Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    Hivi ni mimi tu naona haya au Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa...
  12. Sanaa ya upambaji chupa

    Kuna mfanyabiashara mkubwa sana wa chupa tupu Tanganyika ni mwana JF mwenzetu... Na ofisi zake kubwa kubwa zipo Dar.. Wilaya ya Ubungo na Temeke.. Nadhani na mikoani pia ana matawi Ni mfanyabiashara mkubwa kwakuwa anasafirisha mpaka nje ya nchi hasa Zambia, Rwanda na Kenya Ni mahiri kwenye hii...
  13. P

    UG &TZ chupa na mfuniko

    Nilijaribu kulinganisha risala za wafanyakazi wa hizi nchi mbili kwa kuangalia UBC kwa mda mfupi ayse tutachelewa mno kupafikia matarajio yetu ni uchawa na uchawi eb tune kidogo UBC ,utatapika
  14. Ubunifu wa kutumia chupa tupu za plastic na madumu tupu

  15. Ardhi inalia kisa chupa za plastiki

    Picha: My Camera "Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni Kilimanjaro na ni picha ya eneo moja Kama elimu yaijatukomboa fikra zetu basi hata sheria na kanuni...
  16. Ubunifu wa vizibo vya chupa

  17. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  18. Masaki na Oysterbay : Wapangaji Wagonga Chupa! Kodi kulipwa kwa Dolari!

    Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi. Nyumba za Oyesterbay na Masaki nyingi zilikuwa ni za umma/serikali watu wakauziwa bei ya soda, wao...
  19. Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
  20. G

    Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…