chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  2. J

    Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

    ==== Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan ni uamuzi sahihi sana kwa vigezo vingi pamoja na kwamba umekuja kwa kuchelewa, Kawaida huwa kunakuwa na sababu mahususi inayoongoza ambayo kimsingi huwa 'legacy' ya Kiongozi husika...
  3. Nimepita Chuo Kikuu Huria - Kinondoni, nimeona pameandikwa 'hapauzwi'

    Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni. Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria. Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
  4. Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  5. Z

    DOKEZO UDOM ni Chuo Kikuu kisichobadilika, ubora wa utawala bado uko chini

    Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu. Chuo...
  6. Chuo kikuu kukosa umeme/generator

    Hivi majuzi nilikuwa kwenye Chuo kikuu maarufu hapa Tanzania nafikiri cha pili kwa ukubwa (Mazimbu Campus) Kutokana na mgao wa umeme, shughuli nyingi zinaenda kwa kusua sua; Hata nikahoji ina maana Chuo kikuu hakina Generator? Nikaambiwa wanayo tena kubwa ya kuendesha hiyo campus yote ila tatizo...
  7. G

    Ukiwa muajiriwa unaweza kupata mkopo wa Chuo Kikuu?

    Habari wanaJF. Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human resource" . Sasa anataka kujua endapo akiomba mkopo atapata? mwenye uzoefu wa hii kitu kwa miaka ya hivi...
  8. F

    UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

    Habari wadau Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
  9. M

    DOKEZO Kuna chuo Kikuu cha Umma hivi karibuni kimeajiri walimu watano bila Ushindani, kipo Morogoro

    Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa maswali na majibu ya oral, na wakafanya presentation za slides akawarekebisha kisha wakaingia interview...
  10. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa wadaiwa kuingilia Mfumo na kuonekana kama Wamelipa Ada

    Wanafunzi wadaiwa kuingilia mfumo, waghushi malipo ada Kwa kufanya hivyo, wanafunzi hao wanaonekana hawadaiwi, hivyo kukikosesha chuo mamilioni ya shilingi. Pia wanadaiwa kughushi stakabadhi za malipo na mihuri ya benki ili kujiridhisha kuwa hawadaiwi ada. Uchunguzi wa kina ambao umefanywa na...
  11. Msaada: Chuo Kikuu Mbeya (MUST) kinatoa kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Science & Technology

    Habari zenu wakuu, Poleni na majukumu, Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF. Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
  12. Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  13. Nyerere Day: Julius Nyerere, Dossa Aziz na Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam 1958

    NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja watakatiza barabara kwa miguu kuja Princess Hotel wakafanya tathmini ya mkutano, kula chakula na kunywa...
  14. PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  15. P

    SoC02 Chama Cha Walimu Tanzania Anzisheni Chuo Kikuu cha Walimu na Bodi ya Walimu Ili Kuondoa Upungufu wa Walimu na Kuthibiti Ubora wa Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania: Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vingine vyote vya wafanyakazi Tanzania; Ndiyo chama ambacho wanachama wake wote ni wasomi...
  16. Mwigulu mbona wakati hayati JPM yupo watoto walisoma na kupata mikopo ya chuo kikuu bila tozo?

    Ina maana huko nyuma pesa za kukopesha wanafunzi zilitoka wapi 👇
  17. SoC02 Tuanze na haya kuboresha mfumo wa elimu ya Chuo Kikuu ili tupate Wahandisi wenye tija kwa taifa

    Kwa mujibu wa tovuti ya tathimini ya idadi ya watu duniani ya mwaka 2022, makadirio ya umri wa ukomo wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 66. Kwa mtanzania aliye bahatika kuhitimu shahada yake ya awali akiwa na miaka 23 hadi 24 atakuwa ametumia takribani asilimia 34.85 (miaka 23) hadi asilimia 36.36...
  18. Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  19. Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

    KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA "Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM. Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
  20. Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Ukiwa kama mzazi naomba usome na kuelewa nini huwa kinatokea kwenye mabweni ya wanachuo wengi wa kike. Nilipokuwa chuonI UDSM, niliishi Mabibo hostel kabla sijapata mwanaume aliyenipangia nyumba. Pale hostel nilijifunza mambo mengi mabaya, machafu na ya hovyo. Nikiwa pale nilijifunza usagaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…