chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  2. Tiba ya kifafa hutegemea chanzo cha kifafa kama ifuatavyo

    Kifafa ni ugonjwa sugu wa neva unaosababishwa na mabadiliko ya ghafla ya mfumo wa umeme wa ubongo. Hali hii huleta mshituko na kusababisha mtetemeko (degedege), kukakamaa kwa mwili, na kupoteza fahamu Dalili za Kifafa Dalili hutegemea eneo la ubongo lililoathiriwa, lakini mara nyingi...
  3. 90% ya ukilaza wa mtoto chanzo ni wazazi

    Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu. Huwa nawasisitiza wanafunzi wangu kufanya machaguo sahihi kwa wenza wao kwa tutazama kila kitu hasa thinking capacity,kuna viumbe...
  4. Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  5. Nini Chanzo cha mawazo?

    "Who is thinking you thought" Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
  6. Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  7. Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  8. Nini chanzo cha Damu kuchafuka

    Nimetoka hospital muda si mrefu, nilikuwa na dalili kama za maleria. Baada ya kupima nimeambiwa nina mchafuko wa damu, nimemuuliza dakatari akasema "hutokea tu". Nimemabatanisha dalili kwenye picha.
  9. M

    Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  10. Vidonda vya tumbo chanzo cha bawasiri

    🟢𝐕𝐈𝐃𝐎𝐍𝐃𝐀 𝐕𝐘𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐁𝐎 𝐒𝐔𝐆𝐔. ______________________________________ 🌻 Vidonda vya TUMBO SUGU vinakadiriwa kuwa chanzo kikubwa sana cha Bawasiri katika njia zifuatazo. Kwanza 👉Mgonjwa wa vidonda vya tumbo tafsiri yake huwa chakula hakisagwi vizuri tumboni na Vimeng’enya kama vile amylase, protease...
  11. Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

    Habari za usiku wakuu wa kazi, Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia. Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa . Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
  12. Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri. Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za...
  13. Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

    Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa. Karibu tuchangie mada kikaangoni.
  14. Ni miezi mitatu sasa nimekonda sana. Wanangu ni chanzo

    Habari ni gani wakuu zangu? mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao. safari hii nikaona...
  15. Khalifa hakumtendea haki Jaji Warioba, ujumbe wa wazi kwa mwandishi Khalifa wa The Chanzo

    YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila “trend” ya mtandaoni, na kila tamko la viongozi. Ni mgawanyiko wa kizazi, wa taarifa, wa lugha, na wa...
  16. Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  17. Hakuna pahala dola imeonekana kuwa chanzo cha utekaji. Yaani kina Soka na Polepole walijiteka au?

    Kati ya sababu alizo zitaja Chande , hakuna pahala amesema dola inausishwa na utekaji Badala yake amesema watekwaji yawezekana ni ushirikina, mapenzi, kutafuta umaarufu na mengine mengi. Hivi kweli kusoma hatujui hata kuona? Hii ripoti ni mali ya Rais
  18. Mitazamo Hasi juu ya Elimu chanzo cha Utoro Shuleni

    Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu. Awali ilibainika kuwa zaidi ya watoto 2,000 huacha masomo kila mwaka katika wilaya ya Kasulu, mkoani...
  19. Uchawi na ushirikina ndio chanzo kikubwa cha maisha ya Mwafrika kutokupiga hatua

    Habari zenu. Nitajitahidi kuchambua kwa kina kuhusu hiki kitu ( unaebisha kuhusu uwepo wa uchawi na ushirikina umepigwa upofu, tafuta msaada haraka). Kati ya mabara 6 duniani, Afrika ndio bara ambalo maisha ya watu wake ni duni kuliko mabara mengine. Zipo sababu nyingi zinazochangia, moja kati...
  20. R

    Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…