caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF

    Mtanzania Mrisho Halfani Ngassa ndiye mchezaji aliyefunga hat trick nyingi kwenye mashindano ya CAF Champions league tembelea African Cup of Champions Clubs and CAF Champions League records and statistics - Wikipedia upate rekodi hizi maridhawa.
  2. M

    CAF: Plateau United depart for Tanzania to face Simba SC

    By Polycarp Auta Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania. This is for the return leg of the first round of the preliminary fixtures of the CAF Champions League on Sunday. Mr Albert Dakup, the club’s Media...
  3. CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

    Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira. hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco wamesha nyooka kabisa siku hizi wamepunguza ujanja ujanja huu. nakumbuka mechi za msimu uliopita...
  4. TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  5. TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  6. CAF yatangaza tarehe mpya ya fainali za CHAN

    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikua na kibarua kizito cha kupindua matokeo dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan baada ya kupoteza nyumbani bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za CHAN uliochezwa tarehe 22 Septemba 2019. Licha ya kupoteza nyumbani katika mchezo wa marudiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…