brazil

  1. Brazil na Austria Yaitaka Tanzania Kuchunguza Ukiukwaji wa Haki za Binadamu na Kuharakisha Mchakato wa Katiba Mpya

    Brazil na Austria zimewasilisha mapendekezo mbalimbali kwa Serikali ya Tanzania kuhusu masuala ya haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, mchakato wa Katiba Mpya, pamoja na ulinzi wa makundi yaliyo katika mazingira hatarishi. Mapendekezo hayo yametolewa katika kikao cha mapitio ya hali ya haki za...
  2. Flavio Bolsonaro akimbilia Marekani baada ya kushindwa Uchaguzi Brazil

    Huyu ni kibaraka aliyeangushwa na nguvu ya wazalendo wa brazil wakiongozwa na Lula da silva
  3. Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa Demokrasia duniani

    Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
  4. E

    Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil

    Wholesale Sugar exporters in bulk Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil Top wholesale sugar exporters in bulk from Tanzania. Eco Edge Company Limited offers premium quality, reliable supply, and competitive prices. Contact us! Eco Edge Company...
  5. Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  6. Brazil wamepiga marufuku online gambling/betting. Tanzania iige?

    Rais Lula wa Brazil amepiga marufuku kamari ya mtandaoni nchini Brazil siku kama nane kuelekea uchaguzi wa Rais. Madai ni kuepuka matatizo ya kiafya na kiuchumi? Tanzania nayo ipige marufuku online gambling kama kubet, aviator na online casinos?
  7. FT: Brazil U-20 4-1 Tanzania U-20 | FIFA U-20 WOMEN’S WORLD CUP | Stadion Miejski, Bielsko Biała, Poland | 10:00 Jioni

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  8. Historia Inaandikwa: Tanzania vs Brazil U-20 WWC

    Safari ya timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens, katika mashindano ya FIFA U-20 Women’s World Cup Poland 2026 inaanza leo, Septemba 5, 2026, kwa kukutana na Brazil katika mchezo wa Kundi B. Mchezo huo unaweka historia kwa Tanzania, kwani Tanzanite Queens...
  9. Neymar Jr atangaza kustaafu kuichezea Brazil baada ya kuondoshwa Kombe la Dunia na Norway

    Neymar Jr ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu ya taifa baada ya Brazil kutolewa kwenye Kombe la Dunia na Norway katika hatua ya 16 Bora. Hii ni mara ya kwanza Brazil kushindwa kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia tangu mwaka 1990. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 alifunga...
  10. FT: Brazil 1-2 Norway | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 5 Julai, 2026 |5:00 Usiku | Brazil yaaga mashindano

    Mabingwa mara tano wa Kombe la Dunia, Brazil national football team, watakutana na Norway national football team katika hatua ya 16 bora mjini New Jersey, huku Brazil wakipewa nafasi kubwa ya kutinga robo fainali licha ya kuonyeshwa upinzani mkali na Norway. Brazil walimaliza kileleni mwa Kundi...
  11. FT: Brazil 2-1 Japan | World Cup 2026 | NRG Stadium | Juni 29, 2026 | 2:00 Usiku

    Unatarajiwa kuwa mchezo wa kuvutia zaidi katika hatua ya 32 bora kwenye Kombe la Dunia la 2026 unafanyika mjini Houston, ambapo mabingwa mara tano Brazil watachuana na Japan, timu ambayo haijawahi kushinda mchezo wowote wa hatua ya mtoano katika mashindano haya. Baada ya kiwango kisichoridhisha...
  12. FALSE Is this shows Brazil Vs Morocco 2026 World Cup highlight?

  13. Pigo kwa Brazil: Neymar kukosa Mechi zote za Makundi Kombe la Dunia, kurejea hatua ya Mtoano

    Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr., hatarajiwi kurejea uwanjani hadi michuano ya Kombe la Dunia itakapofikia hatua ya mtoano. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 bado hajaanza mazoezi na kikosi chake kuelekea mchezo wa pili wa hatua ya makundi dhidi ya Haiti, huku akilazimika...
  14. Bwana Mdogo Ayyoub Bouaddi aliyewavuruga Viungo wa Brazil, Arsenal na PSG watajwa Vitani kusaka Saini yake!

    Kiungo fundi bwana mdogo wa miaka 18, Ayyoub Bouaddi, amezitikisa hisia za mashabiki wa soka ulimwenguni kufuatia kiwango bora cha kipekee alichokionesha kwenye mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Dunia (World Cup debut) dhidi ya miamba ya soka, Brazil katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1–1...
  15. D

    Full Time: Brazil 1-1 Morocco || 13.06.2026 || World CUP 2026 || Leo Africa tunasimama na Brazil

    Salaam to everyone. Hopefully everyone is having a great weekend out there. Kama inavyojulikana kwamba kila ubaya lazima ulipwe hapa hapa duniani. Na Leo kwenye muendelezo wa mashindano ya FIFA world cup, Brazil atashuka dimbani kucheza na Morocco, saa 7 kamili usiku. Katika hali...
  16. M

    Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  17. Mademu wa Russia vs Brazil: Nani Wanaongoza Kwa Uzuri wa Asili?

    Jana tulibishana sana na washikaji zangu wanne kuhusu hii ishu watatu walikuwa upande wa Russia, na si watu wa kawaida wameishi na kusafiri katika nchi nyingi tu ulaya,Marekani,thailand ,mongolia n.k. Hoja yao ilikuwa kwamba Russia ina asilimia kubwa ya wanawake wazuri,matwiga,wako soft...
  18. O

    EPRA Hosts Brazilian Regulators for Benchmarking Trip Amid Mounting Fuel Scandal Pressure

    Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) is under growing scrutiny even as it hosts a high-level delegation from Brazil’s energy regulator, Brazilian Electrical Energy Regulatory Agency, for a benchmarking visit aimed at strengthening cooperation in the energy sector. The visit, led by...
  19. Huyu Igor Thiago ndiyo atakuwa main striker wa Brazil?

    Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…