bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Kwanini Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu hapa Bongo wanaenda na vipimo vya kupima waya?

    Nilichogundua ni kwamba Wachina wanapoenda kununua nyaya za umeme kwenye maduka yetu ya hapa nchini, mara nyingi huambatana na micrometer screw gauge au Vernier caliper. Sijajua ni kwa nini, lakini akifika dukani na kuomba waya, hatua inayofuata ni kupima conductor diameter kwa kutumia kifaa...
  2. S

    JamiiForums Yanayoendelea Bongo, yamenifanya nimkumbuke Captain Tesha

    Hakika nimemkumbuka sana huyu Mwamba kutokana na yanayoendelea kwani alikuwa mbele ya muda kwa kuona hatari iliyokuwa mbele yetu Najiuliza yuko wapi huyu Mwamba au wameshapitanae? Mwamba alikuwa mzalendo sana.
  3. JamiiForums Kibongo bongo mtu akiwa na kipato cha elfu 50 kwa siku ni tajiri.

    Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku. Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara ya wafanyajazi wengi ni elfu 8 hadi 10 kwa siku. Kuna kampuni moja niliwahi kwenda nikakuta wanalipa...
  4. S

    JamiiForums Yanayoendelea Bongo, yamenifanya nielewe kwanini Samwel Doe aliuwawa kikatili baada ya kukamatwa

    Nimeelewa kwanini Dictator Samwel Doe aliuwawa kikatili baada ya kukamatwa. Sikuelewa kwanini walifikia hatua ya kumkata sikio kama wanakata nyama kwa ajili ya kitoweo,n.k Kuna mambo yanaumiza sana kwenye hii dunia
  5. S

    JamiiForums Bongo fleva ya sasa imeisha nimemis ile ya 2008-2013

    Katika kukua kwangu, siwezi kusahau jinsi nyimbo za Bongo fleva zilivyokuwa na hisia zile za ndani kabisa. Nyimbo kama NYOTA YANGU ya TID, USIENDE MBALI NAMI ya BUSHOKE, KWAAJILI YAKO ya HUSSEIN MACHOZI, WEWE NI WANGU ya BELLE 9, MASOGANGE ya BELLE 9, Z ANTO na BINTI KIZIWI, KASSIM MGANGA-...
  6. JamiiForums ๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐——๐—ผ๐—น๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ $๐Ÿฒ.๐Ÿฏ ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜„๐—ฎ

    Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ’ฐ Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu...
  7. JamiiForums ๐—›izi hapa Websites ๐Ÿฑ za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! ๐Ÿคฏ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ฅ Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  8. JamiiForums Nini ingekuwa hatma ya mtengeneza video kama hii kwa mtawala wa Kibongo bongo?

    Angeokotowa Mwebwepande huko.
  9. JamiiForums Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

    Habari wadau, Kama unapenda kutumia AI kama ChatGPT kuandika kazi, kutafuta majibu au kupata idea, nimekutana na website mpya inaitwa Bongo Sand. Inafanya kazi kama ChatGPT tu, unauliza swali inakujibu. Interface yake ni rahisi na inafunguka haraka hata kwa simu ndogo. Mimi nimeijaribu...
  10. JamiiForums UV naniriyu wagoma kuwa upande wa Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo

    Kama kweli vile Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani. Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa...
  11. A

    JamiiForums Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
  12. M

    JamiiForums Hapa Bongo, ukimkabidhi mama mali zako zote akulindie kama Hakimi, hakikisha kwanza umeandika wosia! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ

    Linaanzia kwenye mfumo wetu wa familia za Kiafrika, yaani EXTENDED FAMILY! Hapa ndugu si ndugu tu, ni ndugu pamoja na matawi yake yote! Unampa mama yako mali zako, kesho yake wajomba, shangazi, binamu mpaka watoto wa binamu wanajua dada yao ana ukwasi! Mama akisema, โ€œHizi mali mwanangu...
  13. JamiiForums Lema: Watanzania tunasahaulishwa machungu kwa matamasha ya nyama choma, Bongo flava

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema yupo katika hali ya kukata tamaa kutokana na mwenendo wa baadhi ya vijana wanaotanguliza burudani badala ya masuala muhimu ya kisiasa na kijamii. Akizungumza Oktoba 13, 2026 jijini Arusha katika hafla ya...
  14. JamiiForums Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  15. JamiiForums Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Janja janja nyingi kwenye routers zenu Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
  16. T

    JamiiForums SANUKA BMW 3 SERIES GT ZA BONGO

    Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify mileage kaa nazo mbali
  17. JamiiForums BONGO NCHI YA MATUKIO

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini hapa...
  18. JamiiForums Bongo nchi ya Matukio

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini, hapa...
  19. J

    JamiiForums Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

    Huu muziki wa Mbosso sijawahi kuuelewa, ni taarabu, tena nyingine unakuta Zina matusi ya wazi wazi kabisa Ila unakuta dume zima linaimba au kufuatisha, halafu linaponda taarabu.
  20. JamiiForums Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ