bongo flava

  1. Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  2. Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Habari zenu waheshimiwa. Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali. Vyovyote Vile - Ray C (kutoka...
  3. J

    Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

    Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar. Soma Pia: Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
  4. TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  5. Hivi huyu Rayvanny ndio kashaishiwa?

    Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
  6. Professor Jay: Nipo kamiligado tayari kwa mapambano

    Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia wengi. "Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu. Nipo...
  7. G

    Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  8. M

    Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

    Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.
  9. W

    East Coast vs TMK Family nani alikuwa mkali?

    TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa albamu ya Juma Nature iitwayo Ugali na hadi sasa limejijengea umaarufu katika albamu zake mbili...
  10. Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

    Zuhura sijapenda kabisa. Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio...
  11. Ila Bongo Flava bwana part 1

    Kwanini Bongo Flava Ni Ngumu Kufika Mbali Kama Afrobeats, Amapiano au AfroHouse Tusipoteze muda twende kwenye points * WAANDJI (Producers) Hawa jamaa wamekosa ubunifu. Wanasubiri dunia ilete style mpya wao ndo waje kufanya blending kwneye Bongoflva. Wakati mwingine hawafanyi blending wanakopy...
  12. Nafikiri hizi nyimbo 20 za Bongo Flava ndizo bora kwa muda wote

    BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP 20: Ali Kiba - Mwana 19: Diamond - Mbagala 18: Dully Sykes - Dhahabu 17: JI - Kidato Kimoja 16: 2 Berries - Na Wewe Tu 15: Dully Sykes - Dhahabu 14: Z. Anto - Binti Kiziwi 13: Marlaw - Bembeleza 12: Q chief - Si ulinikataa 11: Mr Nice - Fagilia 10...
  13. Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

    Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini...
  14. Tushirikishane Beats (instrumentals) za Bongo Flava

    Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa...
  15. Matonya alivunja katiba ya bongo flava, hakushitakiwa

    Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi. Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
  16. Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi & midundo. Hii list haipo kwa mpangilio, ngoma zote 20 zinaweza kuwa namba 1. Darassa - Muziki (feat...
  17. Ifikapo 2030 hizi nyimbo za kipuuzi za bongo flava zitaiharibu jamii nzima

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha, ndivyo unavyoweza kusema. Nipo kwenye basi natokea Songea kwenda Mwanza, safari nzima tunasikilizishwa nyimbo na video za kihuni za bongo flava mwanzo mwisho. Baadhi ya nyimbo zinazopigwa humu ni hizi: 1. Kila demu ana matako. 2. Nataka kunya 3. Nitongoze 4...
  18. Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
  19. Bongo5: The 100 Greatest Bongo Flava Songs of All Time

    1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto 6. Cinderella – Alikiba 7. Mzee wa Busara – Juma Nature 8. Hakunaga – Sumalee 9. Mr Blue – Mapozi...
  20. Kucheza Mpira V/s Bongo Flava, wapi angalau kuna uhakika wa maokoto ya kuendesha maisha kwa sasa?

    Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…