bolt

The BOLT Browser was a web browser for mobile phones including feature phones and smartphones that can run Java ME applications. The BOLT Browser was offered free of charge to consumers and by license to Mobile network operators and handset manufacturers. BOLT was produced by Bitstream Inc., the company which previously produced the ThunderHawk for Mobile network operators and handset manufacturers.
BOLT was originally introduced into private beta on January 15, 2009 and was made available to the public on February 16, 2009 when the public beta was announced at Mobile World Congress in Barcelona. BOLT supported Java-based handsets with Java MIDP 2 and CLDC 1.0 or higher. BOLT also has specially optimized version for BlackBerry smartphones and worked with Windows Mobile and Palm OS devices that employ a MIDlet manager or Java emulator. BOLT was built using the WebKit rendering engine to display a full Web page layout as found on desktop web browsers.
In December 2011, BOLT Browser was discontinued and all installs were rendered useless.

View More On Wikipedia.org
  1. Zimbabwe Proposes to Bar Foreign Nationals from Bolt, inDrive Driving Jobs

    Foreign nationals could be shut out of Zimbabwe’s e-hailing transport industry under proposed Government regulations that would restrict driver permits to Zimbabwean citizens. The proposed Road Motor Transportation (E-hailing Services) Regulations, 2026, published by the Ministry of Transport...
  2. Gari la bolt

    Mimi Dereva mwenzenu wa bolt, natafuta gari la bolt nifanye kazi, kwa mkataba, mwenye gari au connection naomba anicheki kwa namba 0621704041, nina uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu.
  3. Anahitajika dereva wa taxi mtandao (bolt, uber) DODOMA

    Habari wakuu, nina gari yangu Toyota IST nahitaji dereva kwa ajili ya kufanyia biashara ya taxi mtandao. Dereva aliepo Dodoma. Sifa za dereva 1. Uwe na daraja sahihi la leseni ya kuendesha gari ndogo za biashara 2. Mwenye uzoefu kwenye biashara hii 2. Tabia njema na uaminifu 3. Mstaarabu...
  4. Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

    JF Mwezi uliopita nimevuta gari Subaru Imprezza ya 2011. Imeagizwa kutoka Japan Less than 85,000 km. Nimejikuta sina kazi nayo maana napofanyia kazi na home ni karibu nauli buku. Na kwenye mitoko yangu naona nimezoea boda na bajaj kuliko gari, nikiwa na gari naliona kama mzigo. Niko Dsm nataka...
  5. A

    KERO Bolt Tanzania iweke njia rahisi na za uhakika za kupata msaada Mwanza, hawana hata ofisi

    Tunaiomba Bolt kuboresha huduma kwa wateja jijini Mwanza kwa kuanzisha ofisi ya huduma kwa wateja au kuweka njia rahisi na za uhakika za kupata msaada. Wateja na madereva wa Bolt tumekuwa tukikabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini tunapojaribu kuwasiliana na kampuni hiyo, mara nyingi...
  6. K

    Madereva wa Bajaji Bolt na stori za hapa na pale!!!

    Madereva wa Bajaji (bolt) stories zenu zinafikirisha sana, sasa sijui zinakuwa za ukweli asilimia ngapi?? Huu ni mtiriri wangu: 1. Aisee kuna demu mmoja wa kishua kanipenda sana, tunagonga humu humu kwenye Bajaj yangu. 2.Dada mmoja mteja wangu sana tu,tumezoeana!! Siku nimempeleka kwake mvua...
  7. Je Unatumia Bolt Business katika Biashara yako?

    Moja kati ya huduma ya kipekee ambayo nimekuwa nikitumia ni huduma ya BOLT Business Kwa wajasiriaali wengi ambao biashara zao huwahitaji kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine uhitaji wa huduma bora ni moja kati ya jambo la muhimu sana,Mara nyingi baadhi yao hulazimika ama kusafiri na...
  8. B

    Dereva Bolt/ Gari

    Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  9. HOJA Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

    Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina . Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na...
  10. Natafuta kazi ya Udereva Bolt

    Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0611 947177 Ahsanteni.
  11. Msaada akaunti ya bolt kufungiwa

    Habarin wana JF Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu. Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa inafanya shughuli za bolt kwa ajiri ya kujipatia kipato Basi Kuna kijan nikamuachia pikpk aendelee...
  12. FALSE Bolt stops its operations in Kenya

  13. Nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000

    Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000 Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu...
  14. A

    KERO Baadhi ya madereva wa Bolt wanatoza bei zaidi ya ile inayoonekana kwenye mfumo

    Madereva wa Bolt wanakera sana. Unakuta kwenye app imeonyesha nalipa shilingi 3,000, lakini dereva anasisitiza nimlipe 4,000 akidai mara nyingine app ya Bolt huwa inasumbua. Nilimwambia aendelee kumaliza safari (end ride) kwanza, lakini akadai mtandao unasumbua. Nilipomwambia nitampa hiyo hela...
  15. M

    Kwa hizi hesabu za bolt bodaboda nawahurumia, pesa wanaingiza hadi laki kwa siku ila kinachobaki kidogo

    Mfano Hesabu 100,000 TOA Kamishen ya bolt 24% - 24,000 Mafuta - 20,000 Chakula - 10,000 Ofa za bolt kwa wateja - 10.000 kifurushi - 2,000
  16. Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada. Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free. Kama itawezekana kuendesha...
  17. S

    Madereva wa Bolt waandamana kwenye ofisi za kampuni hiyo kupinga ongezeko la ofa wanazopata wateja

    Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja. Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
  18. Mchanganuo wa bolt na Gari ya Aqua

    Habari wataalamu wa Magari humu ndani. Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu. kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama...
  19. Kwanini Zanzibar Bolt ipo ya Bodaboda tu? Na kwanini ni gharama sana kuliko bara?

    Nisiwachoshe. Zanzibar pia kuna bolt, ila ipo ya boda tu hawana ya gari. Ila ni bei kubwa saaaaaaaana karibia mara 3 bei ya huku bara. Mfano, nime request kutoka Stone Town hadi Aman Abeid Karume Airport, karibia kilometa 8 bei inasema Elfu 8. Nikisema ni request Ubungo hadi Morroco Bus...
  20. Dada, usiwaamini madereva Bolt

    Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi. Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…