bodi

Business Objects's Data Integrator is a data integration and ETL tool that was previously known as ActaWorks. Newer versions of the software include data quality features and are named SAP BODS (BusinessObjects Data Services).
The Data Integrator product consists primarily of a Data Integrator Job Server and the Data Integrator Designer. It is commonly used for building data marts, ODS systems and data warehouses, etc.
Additional transformations can be performed by using the DI scripting language to use any of the already-provided data-handling functions to define inline complex transforms or building custom functions.
Data Integrator Designer stores the created jobs and projects in a Repository. However, Data Integrator Designer also facilitates team-based ETL development by including a Central Repository version control system. Although this version control system is not as robust as standalone VCSs, it does provide the basic check-in/check-out, get latest, version labeling and undo checkout functionality.
The DI Job Server executes, monitors and schedules jobs that have been created by using the Designer.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  2. Bodi ya ligi wangeweza kufuta matokeo badala ya kufuta mechi kama walihisi kuna rushwa.

    Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
  3. Bodi Ya Ligi imetoa maelezo marefu yasiyokuwa na maana wala misingi yoyote ya kikanuni

    Nimeshangazwa na maelezo kutoka Bodi ya ligi (TPLB) kuhusu sababu ya kuahirisha mchezo, Nimegundua nguvu kubwa inayotumika na bodi kujisafisha na kujitoa makosa yake. Sababu za kuahirishwa mchezo zinazotajwa na TPLB ni za kiusalama kwa mujibu wa maelezo yao, Kwamba kamati ya saa 72 iliahirisha...
  4. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  5. Bodi ya Ligi yaijibu Yanga "Hakuna points 3 za bure"

    Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu...
  6. Bodi ya ligi mnazingua,siku hizi weekend hakuna mechi why?

    Dunia nzima weekend ni muda wa burudani,wiki ya nne hii nafuatilia hakuna mechi weekend why?
  7. Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI, Arusha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
  8. Bashungwa amwakilisha Biteko, ufunguzi wa Mkutano wa Bodi ya Kimataifa ya EITI

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, katika ufunguzi wa Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI)...
  9. Hivi zile saa 72 walizotoa Yanga bodi ya ligi hazijapita?

    Yanga walitoa saa 72 kwa bodi ya Ligi kuwapa ushindi kwenye dabi iliyoota mbawa, sasa nauliza muda bado haujafika?
  10. Ukiona unachexa na Simba UJUE unapambana na BODI ya LIGI laamaana mjilinde miguu YENU KUFUNGWA akukwepeki ila afya zenu zibaki imaraa

    Mjitahidii kulinda miguuyenu Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa Otherwise all dbest
  11. Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  12. Bodi ya Ligi: Tiketi za Simba Vs Yanga zitatumika tarehe itakayopangwa

    Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena. “Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
  13. C

    Benki gani inanunua deni kutoka Bodi ya Mikopo(HESLB)?

    Wakuu habari, Naulizia benki gani inanunua deni kutoka HESLB? Msaada.
  14. Kauli ya Dullah Mbabe kupigana akiwa mgonjwa kisa kupata mkate wa familia, bodi ya ngumi mjitathmini

    Dullah Mbabe akasema alipiga ili watoto wapate ridhiki ya kula na shule japo ni mgonjwa na ana majeraha makubwa, hii ni kauli ya kishujaa Kwa mwanaume inauma kuona watoto wanakosa chakula na masomo ukiwa hai, laZima utafanya shughuli yoyote ya hatari watoto wapate ridhiki. Dullah Mbabe ni kati...
  15. Inashangaza kuona mpaka sasa Wajumbe Bodi ya Ligi Kuu hawajatangaza kujiuzulu

    Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
  16. Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

    Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni. Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu. Leo yametokea...
  17. Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

    Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza. Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂 Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
  18. Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  19. M

    Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  20. NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…