bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. Je Polisi mmenyosha mikono??Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu?

    Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu?? Kama kichwa cha habari nasikitika sana kuona vijana wanaisha kwasababu ya kukosa maalifa vijana naowaongelea ni waendesha bodaboda! Kwani ajali zao mara nyingi ni za kipumbavu kwani...
  2. A

    KERO Responded Huyu ni moja ya waliojitambulisha kuwa Askari, anasumbua sana Bodaboda na Bajaj mitaa ya Kariakoo

    Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata. Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka...
  3. R

    Anaandaliwa kuwa Rais, wa kwako kuwa Afisa usafirishaji (Bodaboda)

    Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake. Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende...
  4. A

    Responded HOJA Mgambo wanaotoza bodaboda na Bajaj faini ya Tsh. 50,000 kila siku wanatutengenezea chuki Wananchi

    Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10. Mimi ilinitokea nilikuwa nafunga mzigo pembezoni ya barabara yaani kwenye reserve parking ya jengo...
  5. Leo ni Sabasaba, siku inayojulikana kwa maadhimisho ya biashara nchini Tanzania. Kwa nini biashara nyingi zimefungwa na bodaboda hawajapata wateja?

    Ikiwa leo ni siku ya biashara, wengi wangetarajia shughuli za kiuchumi kushamiri. Badala yake, baadhi ya wafanyabiashara wamefunga maduka yao, huku waendesha bodaboda wakisema idadi ya wateja imepungua. Je, hali hii inatokana na watu wengi kuelekea kwenye shughuli za Sabasaba? Au ni ishara ya...
  6. KWELI Je, ni kweli hao ni bodaboda kutoka jijini Dar es Salaam?

    Kumeibuka video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) ikionyesha idadi kubwa ya waendesha bodaboda wakiwa barabarani wakitekeleza shughuli zao za kawaida. Mojawapo ya machapisho yanayosambaza video hiyo linadai kuwa watu wanao onekana ni maafisa wa usafirishaji...
  7. Songolo: Hakuna bodaboda aliyefunga bendera ya chama kwenye Kampeni bure, tuliwalipa walikuwa kwenye biashara

    Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema waendesha bodaboda walioshiriki katika kampeni za vyama vya siasa hawakufanya hivyo bure, bali walilipwa kwa huduma zao kama sehemu ya shughuli za kibiashara. "Nilikuwa namsikia mbunge mmoja juzi anazungumza kwenye bunge, kwamba hawa watu [Bodaboda]...
  8. Bodaboda, Maduka, Garage, Machinga Waliopo Bara mnataka Rais awatoe?

    Wimbi la uvamizi wa hifadhi za barabara (road reserve) jijini Dar es Salaam linazidi kushamiri, huku wafanyabiashara, mama lishe, na madereva wa bodaboda wakikiuka sheria kwa kufanya biashara na kupita kwenye maeneo hayo. Tabia hii inachangia uharibifu wa miundombinu, ongezeko la ajali, na...
  9. Mbunge azomewa na bodaboda Mbeya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu. Fwanda...
  10. A

    Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  11. Shabiby: Uliona wapi Bodaboda anafundishwa chuo kama sio wizi wa Kijinga, ni nini?

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameikosoa mfumo wa utoaji wa leseni kwa waendesha bodaboda, akidai kuwa gharama zinazohusiana na mafunzo na upatikanaji wa leseni ni kubwa na zinawaumiza vijana wengi wanaojishughulisha na biashara hiyo. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2025...
  12. Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  13. A

    KERO Responded Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  14. Kwanini sekta ya Bodaboda isifutwe? Ni kimbilio la waliofeli, wanajazana mochwari na wazalishaji wa wajane mtaani

    Bodaboda Bodaboda ni kimbilio la waliofeli maisha, wananuka vumbi, akili za kuku, na kazi yao kubwa ni kuacha wajane na mayatima mjini Mada Wakuu, habari za muda huu. Leo nataka niteme nyongo kuhusu hawa viumbe wanaoitwa Bodaboda. Kiukweli hii sekta emekuwa dambo la takataka, yaani kimbilio...
  15. Hivi bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe anapata faida au ni miyeyusho Tu?

    Hivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu ? Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
  16. BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  17. Tamko rasmi kuhusu bodaboda wa Jumbe...

    Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda . Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada . Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa...
  18. H

    UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  19. Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  20. S

    Bodaboda ndo watu wenye IQ ndogo zaidi

    Hawa wanaoitwa maafisa usafirishaji kwakweli wana IQ ndogo siwasingizii ukiangalia mambo wanayofanya mpaka mtu unashangaa kabisa kama hivi huyu mtu ana akili kweli Kwa mfano huku dar hii morogoro Road unakuta kibodaboda kimebeba watu wawili mobonge lakini kinavyopita katikat ya malory hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…