bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  2. Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

    Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3. Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda. Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe...
  3. Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za kuajiliwa na wachina. Katika pita pita zangu nimegundua vijana wengi sana ambao awali walikuwa...
  4. Video: Bodaboda Kenya ajifanya Trafiki na kuongoza magari njia ya vumbi isiyojulikana

    Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
  5. Nimepata ajali ya bodaboda Kibiti

    He'll Katika kutimiza majukumu ya kazi leo nilikuwa Kibiti sehemu moja inaitwa mkamba nimetoka mjini saa nne nimefika saa nane mda ukawa umeenda sana na ilikuwa lazima kumaliza kazi leo sikutaka kulala uko Nikawa nimemaliza kazi saa kumi na moja nikawa nauliza wenyeji usafiri wakaniambia boda...
  6. Bodaboda za CCM zenye "chata" ya Samia ziko mtaani

    Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa. CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.
  7. SI KWELI Uganda: Mwendesha bodaboda aliyekuwa amepakia ndizi na kukatiza mbele ya kundi la Simba auawa na kuliwa na simba hao

    Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua. Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
  8. Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  9. Jinsi uchumi wa nchi unavyoathiriwa na biashara ya bodaboda

    Salaam wadau. Leo ningependa kuelezea jinsi gani uchumi wa nchi unavyo/takavyoathiriwa na biashara ya bodaboda. Biashara hii inayokua kwa kasi kila uchao imekua ni kimbilio la vijana wengi wanaotafuta maisha hasa kutokana na ukweli kua ni biashara rahisi isiyohitaji mtaji na nguvu kazi kubwa...
  10. Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  11. Bodaboda akikwambia usioe huyo mwanamke, acha kweli

    Msiniulize kwa nini-nimemaliza!
  12. Ukatili na roho mbaya katika kundi hili la bodaboda vinasababishwa na nini?

    Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya. Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi. Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndio kwanza kapata...
  13. M

    Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

    Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana. Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
  14. B

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Dereva wa Bodaboda, Oscar Samuel (36) Mkazi wa Mtaa wa Kilongo B Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ameuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutobolewa macho na Watu wasiojulikana. Akiongea na @ayotv_ Mdogo wa marehemu, Huruma Samweli amesema May 31,2023 Oscar...
  15. Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  16. Vijana wa Bodaboda kuweni makini, vinginevyo mtaisha

    Wakuu habarini za wakati huu.. Nipo Pwani huku wilaya ya Rufiji kuna Kijiji kinaitwa Mloka, mida ya jioni hii kuna kijana wa Bodaboda kapata ajali mbaya sana. Kama mnavyojua maeneo haya gari za kutembeza watalii ni nyingi sana, sasa kuna vijana kama watatu walikuwa kwenye kushindana kumwaga...
  17. TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Hali ni mbaya sana kwa barabara ya Kibamba kwenda Hondogo kata ya Kibamba wilaya ya Ubungo. Hatuoni viongozi wakichukua hatua kurekebisha, si TARURA, si diwani, mbunge wa kuchaguliwa wala mbunge wa viti maalum wamefanya hata ziara kuangalia au hata kuagiza magreda kuja kutengeneza barabara...
  18. Mahakama yaridhia kunyongwa aliyemuua Dereva Bodaboda

    Mahakama ya Rufani Morogoro, imetupilia mbali rufani ya Justine Chamashine aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua dereva wa bodaboda, Joseph Frorence 'Msimbe'. Uamuzi huo ulitolewa wiki iliyopita na Jopo la Majaji watatu likiongozwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma. Majaji...
  19. Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  20. Sauna, Bodaboda vinavyosababisha Ugumba

    Vijana hususani wanaume wallo kwenye umri wanaotarajia kupata watoto, wameshauriwa kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya kuoga katika sauna ikielezwa kuwa kiwango cha joto kwenye bafu hilo ni moja ya sababu za ugumba. Kadhalika, madereva wa bodaboda wakiwamo waende-sha vyombo vya moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…